biling
Member
- Oct 31, 2014
- 14
- 6
tafadhali jamani wakuu nilikuwa naomba kama kuna mtu anaifaham hiyo association hapo juu. sababu niliona tanagazo lao pale zoom lenye heading ya graduates entrepreneurship project hivyo nimepata sms yao iknitaka kuhudhulia project presentation itakayofanyika ofisini kwao maeneo ta oysterbay. so nilikuwa naomba mwenye deatails zaid za hii kampuni na shughuli zao hasa pale wanapohitaji watu.