Recent content by Bilaly Junior

  1. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umetuvuruga wala sio siri tena. Hotuba yako ya leo Chato imezidi kuleta taharuki

    Unaandika uzi wa kimama kwenye maswala ya kitaifa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Diamond ni mnyonyaji muwe mnaelewa. Inasemekana kipindi cha Bartender kimepigwa ''stop''

    We na umaskini uliokuandama,shule imekusaidia nini aise Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Bilaly Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wa Kenya wanawapenda sana Watanzania?

    Wakenya tutawaoa sana tu. Kuweni wapole Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anataka kusomea computer science bila likizo ya bila malipo je, afanyaje?

    Kwa baadhi ya halmashauri ukienda kusoma kozi tofauti wakibaini wanakuhesabia ni utoro kazini. Kuwa makini Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Bilaly Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Ntapata product key kwa euro truck simulator 2? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania TV E hii show ya Homa ni Homa kweli.

    Ile live ilikuwa mbovu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba kuwa Director wa 'Afrika Rockstar 4000'

    Unaandika au unaandikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania Karantini ya Diamond Platnumz ni kama shindano la Big Brother

    We pia utakufa na wivu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Bilaly Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Patoranking vs Burna Boy

    Tatizo la wabongo kutokujua kingereza huwa tunajikuta tunashabikia nyimbo tusizozielewa kabisa. Jamaa wanaimbaga vitu non sense kabisa ila kwakuwa hayuelewi kingereza unakuta unamshabikia burna boy kwajili ya lile lisauti lake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Bilaly Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuondoa indicator

    Msaada wakuu namna ya kuondoa hiyo indicator Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Diamond Platnumz anamsaidia Marioo

    Huyo mwenyewe anayedai diamond hana identity yeye kajichubua na makalio ya bandia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bilaly Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Athumani Kazi, jitathmini katika uchambuzi wako wa soka

    We unaona kuna penati hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Bilaly Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top 10 ya wakali wa Hip Hop Tanzania kwa muda wote

    Umemkosea heshma Maalim Nash Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania Harmonize - Hainistui (Official Audio)

    Lete ushahidi acha umama Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bilaly Junior

    JamiiForums Tanzania Harmonize - Hainistui (Official Audio)

    Mipasho yenye degree lakini Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom