Recent content by bilachenga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

    mmmmhh haya bans
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

    yeah it was MWANDU PR.SCHOOL somewhere in central tanzania,guess what....
  3. B

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    hiyo ilikuwa 2004 pale mwenge sec sgd,walikuwepo maticha enzi hizo m1anajiita mwana wa adam,donge,horse power mayombo,muna,siku za disco ilikuwa ni shiddah madem zetu na wao walikua wanawamendea so baada ya debe wakiwanasa mmekumbatiana pondini kazi mnayo,sitaki kukumbuka maiko barantanda...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

    na huu ndio mwezi ambao idara mbili wilayani iramba mkoani singida zimekaimiwa na watunza stoo,nazo ni idara ya maji na idara ya kilimo.
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stori ya Mentor

    zilipandana mbili,ile ya kisa cha mke wa waziri,na ile ya gf wake iliyomvuruga had akashindwa kumalizia ile ya kwanza,sijui unasemea ipi mkuu.
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni maujanja waungwana

    kweli we ni mkuyati.
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimenasa!

    fanya ufanyavyo mkuu,mwisho wake ni kimoja kati ya niliyokwambia.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanigeuka kisa kapata kazi

    haka ka andishi mi huwa nakaamini sana na ninakafanyia kazi.
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimenasa!

    hapo kweli umenasa,ni ama uoe au uhame,akili ku nkichwa.
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    well said mkuu.
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je mwanaume upo tayari kusamehe...hili ..likikutokea?

    hii ngumu kumeza,ngoja wajuvi wake.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afia gesti akifanya mapenzi

    ni km una matatizo binafsi na marehemu juma afya.
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afia gesti akifanya mapenzi

    mkuu sijaelewa swali lako au vp mkuu.
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afia gesti akifanya mapenzi

    mkuu mm cjaona logic ya ww kung'an'gania viagra,wakat tunamtoa chumbani alikua kavimba sana ikiwa ni pa1na sehemu za siri,kule kuvimba kwa sehemu za siri ndio watu wakasema kuwa amekufa huku uume umesimama na kusimama kule kunatokana na viagra,mkuu mi naamini we unajua kitaalamu ni nini...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afia gesti akifanya mapenzi

    ipa tile ka nkani mgoli wane,aza uyugai...sola swee? uwe lega ulu wako ipa bwanewe.
Back
Top Bottom