Afia gesti akifanya mapenzi

Afia gesti akifanya mapenzi

Simlaumu sababu sijui yaliyomkuta ila kufia gest inabadilisha kila kitu
 
mkuu mm cjaona logic ya ww kung'an'gania viagra,wakat tunamtoa chumbani alikua kavimba sana ikiwa ni pa1na sehemu za siri,kule kuvimba kwa sehemu za siri ndio watu wakasema kuwa amekufa huku uume umesimama na kusimama kule kunatokana na viagra,mkuu mi naamini we unajua kitaalamu ni nini kinachopelekea uume usimame je ukifa uume utaendelea kusimama ht baada ya siku mbili?

Mkuu point yako ni ipi sasa?
 
Whilongo whilongo mwee whilongo yooooooo x2
Whilongo bhategana whilongoo yoooooooooo x2
Whilongo bhayaa mweee, whilongoo yoooooo x2

[SUB]whilongo = kaburini![/SUB]
kwacha kwacha cha kwacha kwacha weweweeeee loo
lo lololololoo kiru kiru kiru aaaaaaa
 
poor him..
could it be an overdose of sexual sweetness?
 
Kifo kipo kila mahala, lakini naona siku hizi vifo vya gesti vimekuwa vingi mno
 
Back
Top Bottom