bilachenga
Member
- Apr 6, 2014
- 36
- 9
na huu ndio mwezi ambao idara mbili wilayani iramba mkoani singida zimekaimiwa na watunza stoo,nazo ni idara ya maji na idara ya kilimo.Ngoja ma illuminati watupe yaliyojir mwezi huu
na huu ndio mwezi ambao idara mbili wilayani iramba mkoani singida zimekaimiwa na watunza stoo,nazo ni idara ya maji na idara ya kilimo.Ngoja ma illuminati watupe yaliyojir mwezi huu
Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.
Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.
Julius S. Mtatiro
IJUMAA 5, JUMAMOSI 5 NA JUMAPILI 5;
Katika mwaka huu, mwezi wa Nane(Agosti) una jumla ya ijumaa tano (5 fridays), jumamosi tano (5 saturdays) na jumapili tano (5 sundays). Jambo hili hutokea mara moja kila baada ya miaka 823. Mara ya mwisho lilitokea mwaka 1191 na mara nyingine litatokea mwaka 2837 ambapo mjukuu wako, kitukuu chako, kilembwe chako na kining'ina chako watakuwa kaburini kama wewe.
Unapoongelea mwaka 2837 unaongelea mwaka ambao Tanzania itakuwa tofauti sana, wakati huo naamini dhahabu itakuwa ilishaisha, tutaekuwa tukiendesha uchumi kwa gesi na mafuta….Goodmorning folks!
maoni yangu ni kuwa wewe hujui geography.... Hizi tarehe hazitokei by chance....zipo wazi na very open....ninicha ajabu kuwa siku 5 ijumaa,jmos na j2? Angalia mwakani january kuna hzo cku unazoshishadidia....afu umedanganywa at zilitokea miaka 252 iliyopita? Angalia mwaka 1997 then futa hiyo 252. In short hakuna cha ajabu chochote kileMwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.
Jephta last time was March 2013 and next time will be May 2015..so I don't know which calendar are you talking about.
May be he is talking about the occurrence of the event in the same month![/QUOTE
The August of 1997 had the same values too...
View attachment 175282
Kalenda yenyewe hii hapa
ndugu yangu hii siyo Jiografia Pota tumuia akili kidpgo utagundua maajabu ya NUSU MWEZI MAPUMZIKO siku 15 na siku 16 za kazimaoni yangu ni kuwa wewe hujui geography.... Hizi tarehe hazitokei by chance....zipo wazi na very open....ninicha ajabu kuwa siku 5 ijumaa,jmos na j2? Angalia mwakani january kuna hzo cku unazoshishadidia....afu umedanganywa at zilitokea miaka 252 iliyopita? Angalia mwaka 1997 then futa hiyo 252. In short hakuna cha ajabu chochote kile
Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.
Si kweli kwamba mara ya mwisho kutokea ni miaka 252 ilopita, almost kila mwaka inayo kitu kama hicho, hata March 2013 ilikuwa the same..