ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,076
- 17,463
Mchezo anapewa mara nyingi jaman.chakula cha kupika mimi ni adimu
Hahaha dinazarde we ni noumer sana kwikwikwiiiiiiMchomee viazi vitamu viwili mfungie kwenye box atafurah mno
We unataka uambatanishiwe
Na nn
Zawadi gani nzuri unaeza mpa boyfrend wako katika siku yake ya kuzaliwa.
Au
Wanaume mnapendelea zawad gani ktk kusherehekea siku ya kuzaliwa?
..men have only three basic needs,, namely:
1. food
2. sex
3. silence
its easy