Recent content by BIGURUBE

  1. BIGURUBE

    Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

    Huko vijijini kuna mambo ya ajabu sana ndugu zangu, watu wana wivu sana, ukijaribu kufanya hamjo lolote la maendeleo it’s either unaondoka ww au wale wanufaika wako, this may sound as joke but believe me haya mambo yapo sana especially vijijini.
  2. BIGURUBE

    Mbowe: Wengine wanasema hata Nyerere aling'atuka ila Wakumbuke Nyerere alikuwa Mtumishi wa Umma anayelipwa Mshahara na Kutukuzwa tofauti na Sisi!

    Mbowe Ndio amekuwa target kuu ya watawala na sio chadema as taasisi, ccm wanajua akiondoka Mbowe wengine ni rahisi sana kuwa control na Baadae kuua chama km ilivyo kwa TLP, NCCR CUF nk
  3. BIGURUBE

    Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Chukua hizo karatasi 20, kila karatasi andika sentence moja kuwa Bado upo kwng upembuzi yakinifu kisha mkabidhi
  4. BIGURUBE

    Road contractor needed

    Tuna mradi wa viwanja maeneo ya mwasonga Kigamboni, anahitajika mkandarasi wa barabara ambae atajenga barabara za ndani ya mradi na sisi tutampa sehemu ya ardhi/viwanja vilivyopimwa. Mradi Upo sehemu Nzuri ssna. DM km Upo serious.
  5. BIGURUBE

    KERO Traffic Lights za Kilwa road ni kero

    Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi nyingi hazipo kwny junction zaidi ya vivuko vya waenda kwa miguu. Wahusika hasa temesa waliangalie...
  6. BIGURUBE

    Mwanafunzi anadhalilishwa na vyombo vya habari Serikali na Wanaharakati mko kimya

    Miaka 18 ni mtoto? Umeona ile video yake akiwa faragha mambo anayofanya? Yule amekubuhu kuliko wale wa uwanja wa fisi.
  7. BIGURUBE

    Gazeti la Tanzania Yetu linauzwa

    Mnauza kipeperushi cha ccm Nani atanunua? Halina wasomaji zaidi ya 30 Kwa siku!
  8. BIGURUBE

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Niliwahi kutumia umeme kwenye majiko ya hotelini Kwangu, gharama ilikuwa Karibu Mara Mbili kulinganisha na gas. Umeme ni too costly.
  9. BIGURUBE

    Hatukusaini Mkataba wa Bandari peke yake; iko mikataba 36 ambayo hatujawekwa wazi?

    Moja ya makubaliano itakuwa ni ya kuuza wanyama pori hai Km tulivoona madege ya jeshi la Emirates yanapishana mbugani
  10. BIGURUBE

    Kutukuza ndoa za mitala ni kuvunja katiba ya nchi na kuendekeza mfumo dume

    Km unaamini katika dini yyt utagundua kuwa mitala ni asili ya kiumbe yyt wa kiume, wanaume tumeumbwa kuwa na mahusiano na mke zaidi ya mmoja, iwe ni mke rasmi au la ni mchepuko. Nyie Wanawake mnaodai haki sawa Ndio mnaishia kuzalishwa bila ndoa.
  11. BIGURUBE

    Naombeni msaada, nimetapeliwa

    Facebook [emoji855]
  12. BIGURUBE

    Nilienda ukweni wakidhani sijui lugha yao wakaanza kuniteta, nikaamua kumuacha binti yao

    Hata ingekuwa mm nisingekubali binti yangu aolewe na kabila lako Maana ni wavivu, ni omba omba Kwa asili yenu, m1 akifanikiwa kidogo tu ukoo Mzima unahamia kwake.
  13. BIGURUBE

    Maneno ya kwenye daladala

    Shemeji
  14. BIGURUBE

    Mnaopenda kumwagiwa ndani. Fikirieni hili

    Unataka kujaribu kumwagiwa?
  15. BIGURUBE

    Haya maneno yamenichoma sana na kujiona sina thamani katika hii Dunia

    Kosa lako kubwa ni kutomla, unamuacha demu na nyege za nn? Mm demu nikimtongoza asubuhi Jioni namaliza kazi Maisha mengine yanaendelea
Back
Top Bottom