Recent content by Bigmaaan

  1. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Kama tuweza kununua V8 na kupata posho za mikutano, kwanini tusijibane tukawekeza kwa vijana kwa ajili ya taifa letu?

    Sure thing. All in all, mimi nilishaona hapa tulipo huu uongozi ushaga fail kilichopo sasa they are just managing and not leading the country. Tunahitaji sana kuunga mkono—kila mmoja kwa njia yake—mageuzi na kuwatia moyo waliopo mstari wa mbele.
  2. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinanishangaza sana katika kesi uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Aliyedesign hiyo Flyer ana takiwa kupewa adhabu. 😆
  3. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Kama tuweza kununua V8 na kupata posho za mikutano, kwanini tusijibane tukawekeza kwa vijana kwa ajili ya taifa letu?

    Pengine inaonyesha namna gani ni Cheo kisicho na Mamlaka yoyote ya maamuzi.
  4. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Safari ya Misukosuko (2006) — Sehemu ya Pili (Mwisho)

    Nimesoms hii story nimemkumbuka mtu mmoja alikuwa anaitwa SHUNIE. Alikuwa anapenda sana story, long time no see.
  5. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

    Lete michongo bwashee.
  6. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Wanaume kwa asili sisi ni watawala. Hulka yetu mwanamke ni wangu pekee yangu. Kingine, wanaume huwa tuna tabia ya kuwaza mambo beyond horizon pindi tugunduapo tumesalitiwa. So, hii hututesa sana kisaikolojia. Ila, mke kafariki, baba kafariki, jamaa apate mnasihi, alee huyo mtoto. Hakuna namna
  7. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Photocopy mashines

    Photocopy machine ufundi wake ni mzozo. Ila ukiitumia kwa utunzaji, hadi inachoka, tayari imesharudisha pesa yako.
  8. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Kujisokonyoa sehemu za siri na kunusa: ni hulka au ni ugonjwa?

    Ndio raha ya ubinadamu huo. Kila mtu ana mambo yake ya ndani.
  9. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Kujisokonyoa sehemu za siri na kunusa: ni hulka au ni ugonjwa?

    Zako mwenyewe?
  10. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Mkuu, hayo mambo ya kuuza data, kupokea files ukitaka kuyaepuka tengeneza apps zako mwenyewe. Ni sawa kuandikia chaki halafu hutaki vumbi.
  11. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Sorry, kuna namba ambayo File sharing inaweza fanyika bila kupitia kwenye server katika hizi online services?
  12. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Twende taratibu. Ilovepdf wezi wao ni upi?
  13. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    CCM haitamfia Samia, ila ajae itamfia. Sababu kuu ni mbili tu, Mabadiliko ya kizazi na kukua kwa teknolojia ya upashanaji habari. Hata iweje, hakuna mbinu inayoweza zuia haya. 60% ya kizazi cha sasa hakina connection yoyote na CCM, pili propaganda sasa zimekuwa ngumu sana kwa sababu ya urahisi...
  14. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Yah Tanzania nzima. Before CHADEMA was CUF, before CUF was TLP, before TLP was NCCR. Nakumbuka 1995 tuko primary, Mrema alikuja Tabora, mji ulisimama. 2005 CUF ilikuwa ndio habari ya Taifa, 2010 CHADEMA ndio walianza kukiamsha. Nilichowasifu CHADEMA walianza recruit damu mpya kwenye siasa ya...
  15. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Anything unachokitaka kuhusu pdf, tumia ilovepdf. Kila kitu utakimaliza hapo
Back
Top Bottom