Recent content by Bigger than life

  1. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lazima tushikishwe ukuta kipigo hakikwepeki.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lampard akiwa mchezaji kikosini Chelsea alicheza mpira na wanaume wa shoka kweli kweli. Nashangaa kama kocha anatuletea wachezaji minyoo.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lampard asipoondoka mkubali kutembezewa mpini kila mechi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    1. West Ham Lampard anakalia chuma cha moto 2. Arsenal sare 3. Villa Lampard anakalia chuma cha moto 4. Man city Lampard anakalia chuma cha moto LAMPARD OUT MTFK
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    60% za Losses amechangia Lampard.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nilikuwa namponda Lampard ila sasa nimeanza kumuelewa kwa sababu nimebadilisha mtazamo nimuelewe kama anavyotaka yeye tumuelewe. Nimemuelewa kwanini anampenda Abraham, Abraham bonge la striker ukweli usemwe. Lampard kwa ubora wa mechi ya jana namvalisha viatu vya pep, klopp, anceloti, conte...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwangu Abraham hajacost chochote, tuangalie na aina ya mabeki waliomkaba Abraham. Mbona Giroud hajaleta impact yoyote. Matokeo ya sare ni matokeo mazuri sana kwetu. Abraham aendelee kuwa 1st eleven panga pangua, Giroud auzwe January Abraham acheze comfarable.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Abraham anaendelea kupata experience kadri anavyocheza mechi ngumu. Mzunguko wa pili nawaambia atazifunga big timu zote.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mnaomlaumu Abraham kwani Giroud kafanya nini cha maana pale mbele? Nyie mnajua mpira kuliko kocha? Acheni ujinga Abraham katumia vizuri nafasi alizopata sema mipira ya cross ilikuwa inamjia kasi sana huwezi kupiga kichwa kizuri.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Achana nao hao mashabiki oyaaa oyaaa jana tumecheza mpira mzuri sana, kila mchezaji ametendea haki nafasi yake. Hakuna aliyezingua abraham mwenyewe alikuwa anawachachafia pale mbele, mabeki walibana haswa wangemsahau tuu angewafunga. Kama sio Abraham kuumia angetupia lazima. Nachompenda Abraham...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kama sio Abraham kuwa pale mbele tungefungwa. Abraham alikuwa anawafanya mabeki wa toten wasipande sana. Dogo anakipaji kikubwa sana leo haikuwa bahati yake kufunga. Giroud auzwe January ameingia sub hakuna alichokifanya.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Abraham mzuri kuliko Giroud.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wewe unajua kuliko kocha?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wewe ni shabiki maandazi, angaĺia kikosi huko Abraham ndani. Unamwachaje Abraham kwenye big match kama hii.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Abraham yupo moto sana lazima apangwe kama kweli tunataka matokeo.
Back
Top Bottom