Recent content by Big5

  1. Big5

    Msaada tafadhali

    Siyo uhalimu ni ualimu, ni course ya muda mfupi kwa mafunzo ya ualimu.
  2. Big5

    Msaada tafadhali

    Habari za leo ndugu wa jamii forum, naomba atakaye weza kunifafanulia hili na kunielekeza nini cha kufanya. Mimi nilikuwa mwalimu wa leseni kwa jina lingine course hii ilikuwa inaitwa crush program. Nilibahatika kusoma degree ya uhasibu mwaka 2010-2013 baada ya kumaliza niliomba kubadilishwa...
  3. Big5

    Athari za kubadilisha kazi kwenye payroll

    Je kama mtu ameajiriwa na serikali kwa kazi ya muda kwa mfano kuna waalimu walisoma kwa muda mfupi wakapata leseni lakini kwenye kujiendeleza wakasoma fani nyingine ambayo siyo ya ualimu, haifai nao kubadilishiwa kada?
  4. Big5

    Hii recruitment portal mbona wanatuchanganya?

    Anuani elekezi umepatiwa ili uandike kwenye barua yako ya maombi. Ukishatuma kwa njia ya electronic hamna haja ya kutuma kwa njia ya posta
  5. Big5

    Arusha: Watoto wa shule ya Lucky Vincent kurejea nyumbani kesho baada kutibiwa na kupona

    Amen asante mwenyezi Mungu kwa uponyaji kwa watoto hawa. Tunakurudishia sifa na utukufu.
  6. Big5

    Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

    Sauti soul- kuliko jana Mercy Masika - shule yako
  7. Big5

    Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

    Wilaya ya Meru hiyo
  8. Big5

    Nafasi 4 za Kazi Dar na Arusha

    Habari nikijaribu kupitia hiyo link kwenye kusubmit file inagoma hivyo nashindwa nifanyaje?
  9. Big5

    Msaada kwenye public service recruitment portal

    Ndiyo lazima kuhakiki vyeti kwani ni moja wapo ya sharti lililowekwa kwenye tangazo. Cha kufanya unatoa copy vyeti vyako unapeleka kwa mwanasheria kucertify then unavi scan ndo unavi attach.
  10. Big5

    Msaada kwenye public service recruitment portal

    Huku sijawahi kuona labda kwenye watumishi portal ndo wanaweza kuwa na hiyo Huduma.
  11. Big5

    Msaada kwenye public service recruitment portal

    Asante sana Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom