Msaada kwenye public service recruitment portal

Big5

Member
Sep 25, 2014
34
14
Habari za leo wandugu, naomba msaada kwenye public service recruitment portal nimejaza details zote lakini kwenye profile haifikii asilimia Mia moja. Imegotea kwenye asilimia 84.
 
Haiwezi fika asilimia miamoja...wengi zinachezea hapo tu yaani 70-84,you are okay to go hizo ni nyingi.
 
Msaada wadau hv kwenye hii recruitment portal, kuna option ya wanaotaka kuhama toka idara au wizara moja kwenda nyingine?

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
 
Habari za leo wandugu, naomba msaada kwenye public service recruitment portal nimejaza details zote lakini kwenye profile haifikii asilimia Mia moja. Imegotea kwenye asilimia 84.
Me Ndo Kwanza Maluwe Luwe Eti Mkuu Na Ww Umeenda Ku Hakiki Vyet Kwa Wakili Ndo Ukatuma Maombia Umefanyaje
 
Huku sijawahi kuona labda kwenye watumishi portal ndo wanaweza kuwa na hiyo Huduma.
 
Me Ndo Kwanza Maluwe Luwe Eti Mkuu Na Ww Umeenda Ku Hakiki Vyet Kwa Wakili Ndo Ukatuma Maombia Umefanyaje
Ndiyo lazima kuhakiki vyeti kwani ni moja wapo ya sharti lililowekwa kwenye tangazo. Cha kufanya unatoa copy vyeti vyako unapeleka kwa mwanasheria kucertify then unavi scan ndo unavi attach.
 
Thump Up
 
msaada wadau kwny academic qualifications sehemu ya ACSE inanigomea ku-upload nikiweka taarifa zote pamoja na chet nikisave inanirudsha tena kujaza naomben msaada........upande wa CSE n degree nmefanikiwa vzr tu bdo ACSE
 
Habari za leo wandugu, naomba msaada kwenye public service recruitment portal nimejaza details zote lakini kwenye profile haifikii asilimia Mia moja. Imegotea kwenye asilimia 84.
duh hii yako ni hatari watu tumeishia 75 huko.upo juu.apply now

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Msaada wadau hv kwenye hii recruitment portal, kuna option ya wanaotaka kuhama toka idara au wizara moja kwenda nyingine?

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
Mh. Navyo jua me pitisha kwa boss wako kwa barua unayo tuma then ndo waweza kuhama kama kuna nafac ya kuomba kupata kazi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yes yangu Pia ipo 100%,
Profile.PNG
 
Back
Top Bottom