Recent content by Big TIMERS

  1. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

    Swali- je kusingekuwa na hizo sheria nini kingetokea?
  2. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Leo nimeelewa ni kwa nini CCM inamchukia Mbowe na Lissu

    Huelewi siasa za Tanzania wewe, Mbowe ni CCM.
  3. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    mshukuru Mungu kwa kila jambo. pengine Mungu kakuepushia msalaba wa milele. tulia jipange upya
  4. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Je, watumishi wa umma watarajie nyongeza ya mishahara 2019/2020?

    muonenii huruma rais anajenga nchi, ni vizuri mkamuomba angalau mishahara ya sasa ipinguzwe kwa 5%. pesa iendee kwenye maendeleo
  5. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Nimefugishwa majoka na mwekezaji, yanakua na kuzaliana na sijui namna ya kuyaangamiza

    nenda makao makuu ya ofisi za maliasili na misitu MPINGO HOUSE kawaelezee hiyo ishu watakupa utaratibu wa kuhamishia nyoka kwenye hifadhi na mapori ya taifa
  6. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    uongo jamaa yangu ndio biashara yake amejenga nyumba 2 na kanunua gari na biashara inaendelea kama kawaida
  7. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nina kama miezi 2 nabet match moja tuu kila siku over 2.5, miezi 2 mfululizo bet zote WON. nastake 20% ya mtaji. nilianza na mtaji wa 10,000 huwa najiulizaga bets zote hizo ningekuwa nastake pesa ndefu ningeshanunua Raum. naunga mkono hoja mtaji mkubwa ndio mpango mzima
  8. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    jicho linakuwasha
  9. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

    ndio maana mimi huwa naamini daudi alikuwa na umri mdogo lakini umbile kwa miaka hiyo alikuwa hashimu thabit, kutokana kizazi chao hakuwa kijana mdogo kama sisi
  10. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Urais 2025: Yanayojiri, Yatakayojiri na Makundi

    2015 kiukweli mzee alishinda mbona hakutangzwa
  11. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Urais 2025: Yanayojiri, Yatakayojiri na Makundi

    sio Tanzania 1. HAKUNA TUME HURU YA UCHAGUZI 2. MATOKEO HAYAPINGWI MAHAKANI 3. CCM NA VYOMBO VYA USALAMA NI KITU KIMOJA 4. WATANZANIA WALIO WENGI HAWANA ELIMU YA URAIA
  12. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Profesa wetu wa sheria hajui sheria zetu?

    DISH LAKO LINAYUMBA ZAIDI
  13. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa akiamua kurudi CCM, CCM itamkataa?

    pole zumbukukuu
  14. Big TIMERS

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmevuna mlichopanda

    membe ni another killing project
Back
Top Bottom