Recent content by BIG STONE AND CONER STONE

  1. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Great nimejifunza kitu kwako nikiwa na na safari ndefu Nitakucheki kuna vitu unaweza kuni advice ..weka Hata email basi😀
  2. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Nithibitishie hili uko Ujerumani kwenye jiji la Humburg ? au lah!
  3. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mwanamke wa kizungu

    ni mtazamo wako skupingi ila ujue kuna saa ukimpata utatumikishwa kama punda ...skia hiki kisa. Jamaa mmoja toka Arusha alikuwa Mwongoza watalii baadae akapata kasha ngazi ka kizungu kaka peleka Ulaya na kumwahidi kazi ila alipo fika jamaa akafungiwa ndani ikawa kazi yake ni ku m s e..KS Tu yule...
  4. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    Unajua Najifunza Human psychology , wakati huo ulikuwa unafurahia sana , vikatuni oka na mm pia nilikuwa na furahia sana Movies ila now days Spendi kabisa ..na ukitaka ujue tafuta movie behind the scene utaona haina haja na haivutiii ..hivy ukijua kuwa dini unayo amini kuna maneno ya uwongo ya...
  5. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    👍1. ila Cynthia Sio inafundisha uovu yaani mwanamke Anapigwa kwenye mkia wa mgongo dah nilikuwa chalii c kuipenda hata.
  6. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    Yaani kipindi hicho nilikuwa naangalia movies na Enjoy mno , Lakin now days Spendi tena movies baada kujua computer naona ni fiction , Tu uwongo WA kwenye green screen or blue screen . Ukipenda ku enjoy kitu usjue undani wake ..na Ukita kufaidi mwanamke na ufurahie usjue ali to mbwer na nani ...
  7. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    weka bet code ku prove la sivyo ni uwongo
  8. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kataa picha za ngono

    Endelea kuamini in Negative Hivyo Ila ukielewana mada yangu utaelewa nilicho maanisha...Toka kwenye Gereza la pori.n Utakuwa Huru sana
  9. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kataa picha za ngono

    Rubish from mind Dump
  10. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kataa picha za ngono

    Elewa wote wanao fanya wale wanawake ni shida tu zinapelekea , Hawapendi . Angalia wanaume wanaficha sura idadi kubwa yake. Alafu mwanamke wanafanywa kama tambara la deki kusafisha , tango la mwanaume kuanzia mdomoni mwake mpaka sehemu nyingine is not correct yeah Trust Me.. Wanawake ndio...
  11. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kataa picha za ngono

    si kweli Nimeacha long Time A go , na hata hapa nilipo nimekaa almost two weeks cjasx ,kwaajili majukum na nipo mbali na home so... , Nikaona Upepo mchafu unataka kunirudia , kupooza shinikikizo nikaukataa nakuupigia uzi Kabisa so , pambana kwa vyovyote kushinda huo ujinga inaharbu nerves za...
  12. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kataa picha za ngono

    Ni Dm ili tufanye test utaleta mrejesho Mwenyewe kigezo at leat Uwe mzuri ..uzuri unaleta muukari zaidi😝
  13. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kataa picha za ngono

    Asilimia kubwa wanaume wanaficha sura wanawake wanafanywa kama kitu duni cha kuchezea kama mwendeshaji Atakavyo that not fair..is not good indeed above all wanafanya to kwasababu ya pesa hawapendi wengi wao jua hilo hawapendi ni shida tu.
  14. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kataa picha za ngono

    Naamini kuna kitu Uliwahi Kujutia kufanya katika Maisha, kuwa wazi tu nn ? Kwa upande wangu. when I was on the O level school , my Neighbor brother came in our room with laptop full of por. n..Graph I watched it and later I continued to look for it Najutia Hiyo ..Nilifanya makosa sana , na...
Back
Top Bottom