Recent content by Big Results Neo

  1. Big Results Neo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi mkomesha demu aliyekuletea janja janja

    Demu kala nauli yangu nikasema huyu akija namkomesha kunako 6x6 basi alivyoingia 18 nikasema leo ntaipiga kama naua nyoka. Dah kilichotokea ile nafika nae geto kwanza nikapiga kimoko cha dk mbili wazungu hao mara likaja bonge la usingizi kuja kuamka ata hamu nae sina nikamwambia tu nenda asee...
  2. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Kuna uwezekano makuzi yake yote amekulia boarding schools, hii imesababisha washindwe kumfahamu kwa kina. Kiufupi dogo ni introvert ila wao wanaona ni kama hana muelekeo hivii
  3. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Marejesho yamenizidi uwezo naitupa “Toyota Surf“ yenye sunroof ya kupigia kampeni

    Ingekuwa nyeusi ningekwambia uilete hapa ubungo uchukue hela
  4. Big Results Neo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau dakika Elekezi ni zipi katika tendo nachanganyikiwa hapa. Katiba ya sasa haijataja kabisa

    Hao wanawake wa kukojoa wapo sasa mkuu. Na kama wapoo je minimum ndo dakika ngapi ili tufunge mjadala
  5. Big Results Neo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ndiyo najua kumbe kitendo cha kukamilisha mahari ndiyo umeshafunga ndoa ya kimila, mwaka huu navuta jiko

    Mimi nilifanya hivyo shughuli nzima nilitumia 700k kwa kila kitu hadi jiko limefika ndani
  6. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kila la kherii vijanaa. Mje mtutetee sio kutupiga mitama
  7. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Wanaume Haya Tuliyataka Wenyewe

    Hapo unazungumzia mama yako ambae ni mwanamke wa miaka ilee. Kuna hichi kizazi cha sasa mkuu akimudu kula na kubadilisha kijora na wigi anaona kamaliza kila kitu na hakuna mwanaume anaemsumbua. Kwasasa mambo yamebadilika sanaa ni 1in 100 ndo unaweza kukuta amesoma au ana kipato na akaheshimu ndoa.
  8. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Mkuu endelea kutupasha habari..
  9. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada maswali ya interview za polisi

    Nimeona majina ya vijana wengi wenye degree za udaktari, uuguzi, ufamasia maabara sheria na taaluma nyingine nyingi wameitwa kwenye usaili. Kwahyo una nini cha kuwaambia mkuu
  10. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada maswali ya interview za polisi

    Duh kwanini mkuu unasema hivyo? Hebu tupe uzoefu hapo mkuu
  11. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Nifanye Biashara gani kwa mtaji wa milioni 3

    Boda faida laki 3 kwa mwezi? Mkuu umefikiria vizuri lakini. Nimejaribu kuwaza tuu
  12. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Nichukue pikipiki gani kati ya hizi tatu?

    Boxer BM 150 ni nzuri kama wewe una kimo cha wastani. Ninayo tangu 2023 mwanzoni bado iko powa naitumia kwa matumizi yote off road na Rami maana naishi mjini ila shughuli zangu za kiuchumi zinategemea zaidi shambani. -Ulaji mzuri wa mafuta -Comfort ability hasa ukizingatia mie sio mrefu sanaa...
  13. Big Results Neo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa ndipo wanawake wengi tunapofeli

    Hivi kuna watu bado wanavumilia mambo kama hizi. Mtu anifanyie vitimbi vyote hivyo na bado nimuangalie asee na pamoja na vitimbi vyote eti tuishi kama zamani. Yani mimi
  14. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ajira Portal Ilivonipotezea kipenzi changu!!

    Umemaliza kila kitu mkuu. Hii imemtokea mzee wangu kwa mdogo wake yani baba angu mdogo asee mzee alimpambania sana lakini sasahivi ndie adui yake namba moja yani baba mdogo anafanya kila hila kumrudisha nyuma baba ilihali mafanikio yake aliyeyapanbania ni kaka yake ambaye ni mzee wangu. So sad
Back
Top Bottom