Ushawahi mkomesha demu aliyekuletea janja janja

Ushawahi mkomesha demu aliyekuletea janja janja

Demu kala nauli yangu nikasema huyu akija namkomesha kunako 6x6 basi alivyoingia 18 nikasema leo ntaipiga kama naua nyoka. Dah kilichotokea ile nafika nae geto kwanza nikapiga kimoko cha dk mbili wazungu hao mara likaja bonge la usingizi kuja kuamka ata hamu nae sina nikamwambia tu nenda asee suelewagi hadi leo ile issue
 
Wa hivo unawapakia mkongo *****
 
Akila nauli siku ya kwanza.
Siku inayofuata unapotezea na unarudisha urafiki.

Atasahau na kuna Siku ataomba hela.
Akiomba unakubali kumtumia ila sasa hela iko Cash. So asikilizie ukimaliza mambo yako utatuma.

Hakikisha mara zote anazopiga simkukumbusha muamala wake. Mpe matumaini.😁😁😁😁

Alaf jioooooon kabisa haupokei sim zake.
Maumivu atayapata tu na yeye.
Hahahaha,hii nilimfanyia mtu dah ananimaind mpk Leo
 
Yaani inakuaje unahonga bila uhakika wa mbunye??
Si nae anakuona bwege mtozeni na anakumudu.
 
Umenikumbusha jamaa Moja kitaa that time all back2014 I remember was my first time na zama dsm kibabe nikafikia tabata aroma kwa bro, tuLIKUA tunaishi na vijana wa mwenye house Mzee Fulani ye alikua aishi hapo

sa wale vijana wake kina Moja alikua chekibob bonge la shabalanks AF mtoto wa kitaa, akapata demu Moja hivi, huyo demu alikua anapiga inshu za mikopo na PESA ilkuepo sa kala sana nauli za muhuni na jamaa NAE kalaa hela za huyo demu ila jama akamaindi kuchunwa sana mzigo anapigwa tarehe, akaona isIWE kesi.

akamuibukia KWAKE na huyo demu sikumbuki wapi jamaa akamtishia kumpiga Akala mzigo kwa nguvu akulizika akabeba na simu za shori mazee akamtupia laini zake akasepa, jamaa alivo tupa stori niliogopa sababu NILIKUA mdogo sikuwa na cha kuchangia jamaa akadai huyo demu Hana cha kufanya hapa mjini.

Kumbe demu mafia kakodi wahuni wakamteka jamaa wakampeleka chimbo jamaa akadundwa alaf akaambiwa anyonye konga la dude Moja litekaji huku anarekodiwa na demu mwenyewe jamaa akatii kuokoa uhai ili video isivujishwe akaambiwa arudishe kila kitu na PESA juu, jamaa aliuza vitu hadi KUMALIZA huo mtiti.
😃😃😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom