Recent content by big result now

  1. B

    Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 DIY wanaoleta andika wanauza bei ya jumla 31,0000 wewe unauza 15,000 mkuu unazalisha ww hiyo Andika 🤣
  2. B

    Natafuta mchumba wa kike

    Kijana wa miaka 33, nipo Dodoma mjini, muajiriwa. Natafuta mchumba kati ya miaka 25 mpaka 30. Kwa yeyote aliyetayari karibu PM
  3. B

    Nyimbo zinazobamba siku hizi zinakosesha radha ya muziki kwa kufanana

    Labda ndo nazeeka,labda sijui trends kwa sasa ndo aina hii ya muziki, muziki uunaboa wakuu, wasanii wanafanana uandishi, beat, sauti Kila kitu. Tafuta ngoma zote zinazofanya vizuri uniambie, KWANG'WARU,GO GAGA, CHOMBO, JIBEBE, IOKOTE,DULLY FT HARMONIIZE, AICA&NA REALFT FT DIAMOND, DM CHICK...
  4. B

    Unamkumbuka Mussa Simba aka Black Moses: Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo

    Me niliona show zao mwaka 2016 Hapo mzalendo, aliwaleta Dj Jd, alikuwa huyo Ngedele na jamaa mwingine bonge hivi, ngoja nitafute video zao nilichukua
  5. B

    Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Inasikitisha sana, pale mtu anapofanya kazi nzuri afu kuna pimbi kisa chuki zake anabaki kuponda tu, NgomA ya darasa ni tamu Eti, jamaa anaandika sana na inakatisha Tamaa kusikia mtu anadiss track tamu hivi, niambieni hivi karibuni Nani katoa track tamu Kama hii HASARA ROHO, kila mstari wamoto...
  6. B

    Ninunue simu gani kati ya iphone 5s na iphone SE?

    ASANTE SANA KWA USHAURI KIONGOZI
  7. B

    Ninunue simu gani kati ya iphone 5s na iphone SE?

    Mambo Kuna mtu yupo uarabuni(saudia), nimemuomba anichukulia iphone 5s, lakini ninachanganya kati ya iphne 5s na iphone 5se(sijui ipi ni bora zaidi) naombeni msaada kwa mnaozijua vizuri, naomba mnipe namna ya kuweza kuigundua iphone fake. Asanteni sana wakuu
  8. B

    Papa: Messi is better than Pele and Maradona" Ronaldo out of the list again

    The Pope has spoken. Pope Francis, while in Poland for the World Youth Day gathering, voiced his opinion as to who is the best soccer player of all time. Born in Argentina and a big fan of club San Lorenzo, the Pope selected Lionel Messi over Pele and Diego Maradona, per Marca. "For me...
  9. B

    Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

    MKUU HII KITU IPO NA UBISHI MKUBWA SANA, HASA BAADA YA RONALDO KUSHINDA EURO WENGI WANASEMA YEYE NI BORA ZAIDI
  10. B

    Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

    Jose Mourinho has named the three footballers who he thinks are the greatest of all time. ‘The special one’ was asked to name his picks for the three greatest players in football history, to which his response was "For me, the top three players in history are (Lionel) Messi, Pele and (Diego)...
  11. B

    Sorry Messi, una bahati mbaya mno..

    Fainali nne haujachukua hata moja, huku ukiwa na best player s, Ona Portugal ya Ronaldo imechukua euro na kikosi kibovu, najua hiyo itakuwa point kwa team-Ronaldo kuprove wewe si lolote si chochote,, wapenzi wa mpira tunaujua uwezo wako, na pia tumeiona bahati inavyoplay part kwenye mpira...
  12. B

    Bravo Mbwana Samatta and thomas Ulimwengu

    Some years back i was very delighted to see our two players signed for Tp mazembe, Mbwana Samatta and thomas ulimwengu, i saw good omen for Tanzanian footbal,having two players in a big team like Tp mazembe is such a great achievement for our struggling football, our football is stagnat since it...
  13. B

    Natafuta mchumba wa kike

    Mambo wadau wa Jamii Forum, Hongereni kwa majukumu ya kila siku ya kusukuma gurudumu la maendeleo. Mimi ni kijana wa miaka 28,nipo Dar es salaam,ni muajiriwa wa institution moja kubwa yenye makao yake makuu Posta mpya,nakuja kwenu kwa moyo mkunjufu nikitafuta mchumba ambae Mungu akibariki...
Back
Top Bottom