big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Fainali nne haujachukua hata moja, huku ukiwa na best player s, Ona Portugal ya Ronaldo imechukua euro na kikosi kibovu, najua hiyo itakuwa point kwa team-Ronaldo kuprove wewe si lolote si chochote,, wapenzi wa mpira tunaujua uwezo wako, na pia tumeiona bahati inavyoplay part kwenye mpira, Portugal kuchukua euro ni ishara tosha kuwa kashinda kombe na timu ya taifa Saa nyingine bahati huchukua nafasi yake, me ni shabiki neutral kabisa, ukiangalia kwa performance Messi alitisha sana Copa America decenterio kuliko Ronaldo wa Euro, ila kwa kuwa dunia kuangalia una nini mkononi, Ronaldo ni bora zaidi yako, na hii euro itamuweka mbele yako daima, ila wapenda mpira kama Mimi tunaujua uwezo wako, hukuwa na bahati na hiyo hiyo bahati now inamuweka ronaldo mbele yako.