Recent content by big maharifa

  1. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    wakanda forever Sent using Jamii Forums mobile app
  2. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa diagnosis kwenye magari

    apoo ungeenda kwa mtaalamu wakutumia mashine haichukui dakk chache inawezekana control ya kwenye fen iliguswa ....hili tatizo lilinitokea mm pia gar ilkuwa inazma na kuwasha mpaka ipoe kabsaa ndo unaendelea.... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Tuliowai kupata Supplemental kwenye final exam za UE/IE tukutane hapa

    Institute of Finance Management (ifm ) nikikumbuka chuo na miss supp sana..
  4. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Tuliowai kupata Supplemental kwenye final exam za UE/IE tukutane hapa

    mwsho Wote tunafanya supp za mtaan ...
  5. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Tuliowai kupata Supplemental kwenye final exam za UE/IE tukutane hapa

    Nilipata supp ya business law first year nkachomoa chaap ..nkapata supp ya audit second year third year management chupu chupu nidakwe wakatuongezea marks nikaponea mdomoni ...aisee Supp n tamu san kama unazijulia !disccssn za supp mnakutana wote vilaza mnaelekezana ad raha , ambao hawajawai...
  6. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Asante !kutembea kujifunza kuna sehem nilikwamia nikanunua mzgo but hope nimejfunza ktu next tym hasira ztaongezeka maradufu tafika mbali zaidi.
  7. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Natafuta chimbo la hardmaterial ya ujenz kama koleo,sururu,majembe,slesha,shoka n.k nmeangaika week nzma apa karkoo kila ninapooingia nagongana na bei za mkoan kwetu jana nmefanikiwa kuingia goodone lakn nmeambulia maumivu tu wanataka nichukue mzgo kuanzia 5m ...nmekimbia ! tafadhal mwenye...
  8. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa gari la milioni 5 nimeamua kuwekeza

    nakushaur kpnd ambacho unasubiri wakushaur kuhusu biashara embu jafbu kufungua ka kabishara ka dogo ka money transfer weka mpesa 2000000 tigo pesa 2000000 airtel money 500000 hiyo laki tano lipa kodi ya miez mitatu na maintanc ya chmba cha biashara hautajutia na uhakika ukifanya vzur return...
  9. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu biashara ya kuuza na Kubadilisha gesi

    nenda kamwone superdealer yeyote aliyeko karbu yako ambae atakuwa atakusambazia! lakin anzia na mitungi kg6 kumi na kg 15 kumi : mfano oryx *kg 6 10×43000= 430,000 *kg 15 10× 90000= 900,000 *mizani *leseni ya biashara * certfact ya fire extnguisher
  10. big maharifa

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani unakupa motisha ya kuisaka hela?

    1)the script-hall of the fame 2)darasa - nishike mkono 3)john cena- my time is now 4) bahati bukuku-wewe ni baba 5) bony mwaitege- mwamin mungu utafanikiwa
Back
Top Bottom