Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wakanda forever
aubameyangdaily-20190315-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well done Arsenal the Gunners poleni mashabiki wa Rennes nadhani leo ilikua hamna cha BEN ARFA wala BEN OMEGA japo kajitahidi kuonyesha uwezo wake kipindi cha pili.
Ndugu zangu mimi ukweli wangu kutoka moyoni naumia sana Arsenal tunamuacha mtu kama AARON JAMES RAMSEY yaani Aaron wewe ni mpiganaji hasa unisamehe kama nishawai kuwa na wasiwasi na uwezo wako but nadhani sijawai kuwa na wasi wasi na wewe the man from Wales.
Well done Mjerumani Mesut Ozil unaonyesha kweli ulikua hautendewi haki kutokupangwa first eleven.
Hongera kwa Pierre Emerick Aubameyang kwa kufunga magoli mawili muhimu japo umekosa mengine ya wazi pamoja na Ainsley Maitland Niles kwa kufunga goli moja na kuonyesha uwezo mkubwa sana kwenye kukaba.
Well done Sead Kolasinac yaani wewe kwenye kesi ya kushambulia haujawai kuniangusha.
Well done NACHO MONREAL uwezo mzuri sana unauonyesha unaipigania sana team.
Well done GRANIT XHAKABOOM BOOMXHAKALACA maana kazi unayopiga sio ndogo.
Well done na wengine wote isipokua roho yangu bila unafiki kabisa siwezi kukupa hongera SHKODRAN MUSTAFI japo kuna mambo mengine umefanya mazuri lakini umefanya mengi mabaya yaani kwa SOKRATIS PAPASTATHOPOULOUS utasubiri haumuwezi yule mgiriki ana balaa kuliko wewe na ndio maana katika maisha sijawai kuwa na wasi wasi na uwezo wa kocha wa timu ya Taifa ya Germany Joachim Low ata anavyokuacha wewe na kumuita Antonio Rudiger ni sahihi kabisa Rudiger ni better kuliko Mustafi jirekebishe urudi kwenye uwezo wako wa kipindi kile ukiwa Valencia au ukiwa Arsenal mwanzo kabisa ila saivi una poor performance sana.
Man of the match kwangu ni AARON JAMES RAMSEY
COYG
Nawatakia usiku mwema ndugu zangu mlale salama na muamke salama.
IMG_20190314_202609.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli tatu muhimu,neeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeext....................................
 
Aubameyang on his Black Panther mask celebration: "I needed a mask that would represent me. It is a Black Panther & in Africa, in Gabon we call the national team the Panther of Gabon. It represents me" #Arsenal
IMG-20190315-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Auba pamoja na kufunga brace lakini hajawa na makali ya kuwezesha timu kuchukua Europa, lazima ajisahihishe anakosa magoli mengi. Jana niliangalia mechi iliyotangulia ilionesha jinsi Giroud wa Chelsea alipokuwa anapata hatrick yake ya away huko Kiev, anaonesha ana vitu fulani ambavyo Auba lazima avitafute kama,
Kwanza, ni clinical finishing and agility, muda wote mshambuliaji anatakiwa ajue goli lilipo na awe tayari kupokea mpira na kuutendea haki, sasa jana mipira inamkuta kama hayuko alert ndio anaishia kukosa magoli. Hata upigaji wake wa penalty nina mashaka nao kidogo, ila ngoja apige nyingine ndio itajulikana vizuri.
Pili, uwezo wa kukaba timu ikiwa inashambuliwa
Tatu, physical presence threat especially in 50-50 balls to false defenders mistake, ingawa hii ni ngumu kwa kuwa mwili wa Auba ni mdogo
Nne, winning aerial duels, being used as wall to bounce balls when attacking at numerical disadvantage.
Tano, with regard to his experience, was that mask necessary to draw a yellow card while heading to the quarter final not just a league? Jana Giroud pamoja na kupata hatrick lakini sijamuona akivua fulana ambayo ingempelekea apate yellow card.
 
Back
Top Bottom