Recent content by Big gun

  1. B

    Dewji hii ndo fursa, achana na Simba ya Kilomoni anzisha MO Simba FC , mashabiki tupo

    Tupige kelele sheria ibadirishwe. Hawa akina Kilomoni tunawaonea bure sababu matakwa ya sheria yanataka hivyo, mnataka wasemeje?
  2. B

    Kelvin Yondani : The Living Legend

    Umesoma hadi mwisho au umesoma mstari wa kwanza tu.
  3. B

    Kelvin Yondani : The Living Legend

    Kiukweli Kelvin ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wa Tanzania. Ni kweli kuwa ana madhaifu yake ikiwemo hasira inayosababisha utovu wa nidhamu muda mwingine. Lakini ukiangalia ni mchezaji aliyekaa kwenye kiwango kikubwa muda mrefu na hata sasa ana umri mkubwa kwa takwimu miaka 35 lakini bado ana...
  4. B

    Rais Magufuli amethibitisha kuwa kiongozi mzuri ni yule anayejali maslahi ya wengi

    Mtoa naomba nikufahamishe kuwa maisha mfanyakazi au mtu yoyote anayoishi ni sasa sio baadae. Kwa hiyo suala la wafanyakazi kuomba mshahara bora sasa ni sahihi. Pili wafanyakazi mwajiri wao ni serikali kwa nini wasiiombe na wakati tangu awamu ya tano iingie madarakani bidhaa muhimu karibia zote...
  5. B

    Hivi inakuwaje magoli kipa kwa style hii hata mbavu aiteguki.

    Kati ya wachezaji wote, magolikipa ndio wana mazoezi makali sana. Ni lazima wawe na mnyumbuliko mkubwa.
  6. B

    Mimi ni kijana wa miaka 24 na sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe. Je, kuna madhara? Kama yapo ni yapi?

    Utaumia sana siku ya kwanza, harafu utamu utakapokolea utazimia.
  7. B

    Kwa hiki nilichokifanya kwa mke wangu niko sahihi au nimekosea?

    Inashangaza aisee kwanza mtumishi wa umma hafukuzwi kazi kirahisi rahisi hivyo. Kama ingekuwa hivyo wengi wangefukuzwa kazi kirahisi mno, nahisi hapa hoja yake ni wake wenye kazi wengi ni wasumbufu.
  8. B

    Beki Bora wa Kati Unayemkubali katika Soka!

    Victor Costa Nyumba, mimi ni Yanga damu ila heshima kwa huyu jamaa. Alimpiga chenga beki mmoja Msumbiji kila mmoja alishika kichwa.
  9. B

    Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

    Kulikuwa pia na Hussein Sued alikuwa na kipaji sana huyu dogo sijui kapotelea wapi aisee.
  10. B

    Ma Producer hawa wamepotelea wapi..?

    Umesema vema mkuu ,zamani kweli biti zilikuwa nzuri hadi unafeel, kuna nyimbo zilikuwa zinatoka unaona msanii hakuna kitu ila biti inambeba.
  11. B

    Ibrahim ajibu na dunia ya peke yake!

    Wac Wachezaji wengi wa Tanzania wana vipaji vikubwa tuu ila wana tatizo moja hawajitambui. Ajibu naye kama wengine hajitambui. Namaanisha wanapofikia timu kubwa wakapewa mi sifa, wakaandikwa kwenye magazeti basi wanaona wameishaiteka Dunia kumbe wanatakiwa waende mbali hasa na wapate maslahi ya...
  12. B

    Demu wangu ana 'mashine kubwa' nifanyeje?

    Sugua pande zote acha kulia lia unakazana kuweka kati ili iweje. Narudia tena leo kasugua engo zote harafu uone kama utalia lia tena.
  13. B

    Gadiel Michael wa Yanga atimkia South Africa

    Huyu dogo yuko vizuri, ana skills na anajituma sana kwa umri wake atafika mbali. Wachezaji wa Tanzania wanatakiwa waende nje kwa wingi hata kwenye Nchi za kawaida tu wapate changamoto ya kupambana.
  14. B

    Jose Mtambo hali yake vipi?

    Huyu jamaa ni moja ya marapa bora ambao kwa kweli mziki umewatenda au hawana bahati kabisa. Kama ni kweli gongo basi ni msongo wa mawazo. Wasanii wa bongo wanatakiwa wawe na management itakayowaongoza.
  15. B

    KUFUZU TANZANIA | CAF IMEPOTEA

    Zimefuzu timu 24, je hizo 30 zilizobaki je? Wakati mwingine tutoe pongezi tumejitahidi hata kufika hapo, kinachotakiwa tu ni kuongeza nguvu kwa serikali na wadau wengine kuwekeza kwenye mpira. Tena mimi ningependa ile bilioni ya maandalizi ya Afcon ingepelekwa kujenga academy ya kisasa.
Back
Top Bottom