Gadiel Michael wa Yanga atimkia South Africa

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Beki namba 3 wa Yanga na taifa stars Gadiel Michael ameondoka Leo kuelekea south Africa katika klabu ya Bidvest Wits inayoshika nafasi ya 2 kwenye ligi kwa majaribio ya wiki 2 hata hivo Bidvest wanakabiliwa na upinzani kutokana klabu ya super sport United ambao nao wanataka beki huyo.
Beki huyo alizivutia kablu hizo Mara baada ya kumuona kwenye mchezo na Uganda and app Gadiel alicheza vizuri
Inst-image-9.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora aendeee kuleee ika akae akijuq kuna mnyama zimbwe junior anakichafua CAF champions league robo fainali
 
South afrika hakuna mfumo mzuri wa watanzania kupaa kuelekea mbele wengi wa wabongo wakienda huko huishia hapo na kurudi nchini
 
Beki namba 3 wa Yanga na taifa stars Gadiel Michael ameondoka Leo kuelekea south Africa katika klabu ya Bidvest Wits inayoshika nafasi ya 2 kwenye ligi kwa majaribio ya wiki 2 hata hivo Bidvest wanakabiliwa na upinzani kutokana klabu ya super sport United ambao nao wanataka beki huyo.
Beki huyo alizivutia kablu hizo Mara baada ya kumuona kwenye mchezo na Uganda and app Gadiel alicheza vizuri
View attachment 1055354

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo yuko vizuri, ana skills na anajituma sana kwa umri wake atafika mbali. Wachezaji wa Tanzania wanatakiwa waende nje kwa wingi hata kwenye Nchi za kawaida tu wapate changamoto ya kupambana.
 
Back
Top Bottom