Dewji hii ndo fursa, achana na Simba ya Kilomoni anzisha MO Simba FC , mashabiki tupo

Opuk Jater

Senior Member
Dec 25, 2018
145
130
Kwako MO Dewji,
Kwanza pole kwa jinsi unavyohangaika na wazee wenye "timu yao".
Kwa jinsi inavyoonekana watu wamedhamiria kukuondoa kabisa Simba, maana haiwezekani wale wale waliokupigia makofi (WAZIRI) leo wanageuka na kuongeza vipengele ambavyo mwanzo havikuwepo.
Eti wawekezaji watatu 😂😂😂, watoke wapi? Huyo mmoja tu analiliwa 😂😂😂. Halafu kanuni haisemi kama katokea mwekezaji mmoja tu nini kifanyike..
Inaonyesha kuwa hata ufanye nini watatafuta jinsi ya kukudhibiti tu.
Sasa MO hebu achana na Simba, halafu anzisha MO SIMBA FC, hakika utaondoka na robo kama si nusu yetu. Halafu mwezi December wakati wa dirisha dogo tutawasajili akina Kagere na wenzake wote maana Simba ya KILOMONI haitoweza kulipa mshahara, kwahiyo mikataba itakuwa imeshavunjika..
Hawa akina KILOMONI wanajua ukiondoka wao kwao ndo shehere maana watapiga tu hela ya viingilio, wao hata kama Simba inashuka daraja haiwahusu, wao shida yao ni kupiga.
HALAFU WANA ULE MSEMO WA KUTIA MASHABIKI UJINGA ETI TUNAIPENDA SIMBA YETU HATA KAMA IKO KWENYE HALI MBOVU, KUMBE WAO NDO WANAFAIDI MAPATO YA TIMU....
Sasa hivi umebana maana zile 10% walizokuwa wanatupiga kama akina Aveva na Kaburu sasa hivi hawazipati..
Hapo utaumia bure na hao wazee we we anzisha MO SIMBA FC siye MASHABIKI tupo....
 
Eti wawekezaji watatu , watoke wapi? Huyo mmoja tu analiliwa . Halafu kanuni haisemi kama katokea mwekezaji mmoja tu nini kifanyike..
Inaonyesha kuwa hata ufanye nini watatafuta jinsi ya kukudhibiti tu.
Sasa MO hebu achana na Simba, halafu anzisha MO SIMBA FC, hakika utaondoka na robo kama si nusu yetu. Halafu mwezi December wakati wa dirisha dogo tutawasajili akina Kagere na wenzake wote maana Simba ya KILOMONI haitoweza kulipa mshahara, kwahiyo mikataba itakuwa imeshavunjika..
Hawa akina KILOMONI wanajua ukiondoka wao kwao ndo shehere maana watapiga tu hela ya viingilio, wao hata kama Simba inashuka daraja haiwahusu, wao shida yao ni kupiga.
HALAFU WANA ULE MSEMO WA KUTIA MASHABIKI UJINGA ETI TUNAIPENDA SIMBA YETU HATA KAMA IKO KWENYE HALI MBOVU, KUMBE WAO NDO WANAFAIDI MAPATO YA TIMU....
Sasa hivi umebana maana zile 10% walizokuwa wanatupiga kama akina Aveva na Kaburu sasa hivi hawazipati..
Hapo utaumia bure na hao wazee we we anzisha MO SIMBA FC siye MASHABIKI tupo....
Ikitokea hivyo hata mimi siwezi kubaki kwenye timu ambayo yupo huyu kilomoni.
 
Naunga mkono hoja, siwezi shabikia wapumbavu mie.....Sijui tumerogwa na nani watanzania sie! Timu karibu zote Ulaya zinaendeshwa kisasa, sisi tutakaa kienyeji mpaka lini? Halafu ndio mnataka kukuza Utalii....Mnasahau Simba sc kufika mbali kwenye champions League itajenga jina lake na nchi kwa ujumla!

MO anzisha chama letu, hiyo mibilioni tunaifata huko huko
 
Kwako MO Dewji,
Kwanza pole kwa jinsi unavyohangaika na wazee wenye "timu yao".
Kwa jinsi inavyoonekana watu wamedhamiria kukuondoa kabisa Simba, maana haiwezekani wale wale waliokupigia makofi (WAZIRI) leo wanageuka na kuongeza vipengele ambavyo mwanzo havikuwepo.
Eti wawekezaji watatu 😂😂😂, watoke wapi? Huyo mmoja tu analiliwa 😂😂😂. Halafu kanuni haisemi kama katokea mwekezaji mmoja tu nini kifanyike..
Inaonyesha kuwa hata ufanye nini watatafuta jinsi ya kukudhibiti tu.
Sasa MO hebu achana na Simba, halafu anzisha MO SIMBA FC, hakika utaondoka na robo kama si nusu yetu. Halafu mwezi December wakati wa dirisha dogo tutawasajili akina Kagere na wenzake wote maana Simba ya KILOMONI haitoweza kulipa mshahara, kwahiyo mikataba itakuwa imeshavunjika..
Hawa akina KILOMONI wanajua ukiondoka wao kwao ndo shehere maana watapiga tu hela ya viingilio, wao hata kama Simba inashuka daraja haiwahusu, wao shida yao ni kupiga.
HALAFU WANA ULE MSEMO WA KUTIA MASHABIKI UJINGA ETI TUNAIPENDA SIMBA YETU HATA KAMA IKO KWENYE HALI MBOVU, KUMBE WAO NDO WANAFAIDI MAPATO YA TIMU....
Sasa hivi umebana maana zile 10% walizokuwa wanatupiga kama akina Aveva na Kaburu sasa hivi hawazipati..
Hapo utaumia bure na hao wazee we we anzisha MO SIMBA FC siye MASHABIKI tupo....
Na jezi ziwe nyekundu nyeupe, hata mie nitakua shabiki w hiyo timu..
Tatizo ni serikali.
 
Kuna Arsenal, Arsenal Kiev, kuna Manchester City, Manchester United, Real Madrid, Atletico madrid....N.K

So Next : MO SIMBA FC NA SIO SC TENA
Unajua haki miliki ya hilo jina "SIMBA" lina thamani kiasi gani ?

Unadhani ni rahisi kuiita timu yake MO SIMBA aachwe tu?
 
Kwako MO Dewji,
Kwanza pole kwa jinsi unavyohangaika na wazee wenye "timu yao".
Kwa jinsi inavyoonekana watu wamedhamiria kukuondoa kabisa Simba, maana haiwezekani wale wale waliokupigia makofi (WAZIRI) leo wanageuka na kuongeza vipengele ambavyo mwanzo havikuwepo.
Eti wawekezaji watatu 😂😂😂, watoke wapi? Huyo mmoja tu analiliwa 😂😂😂. Halafu kanuni haisemi kama katokea mwekezaji mmoja tu nini kifanyike..
Inaonyesha kuwa hata ufanye nini watatafuta jinsi ya kukudhibiti tu.
Sasa MO hebu achana na Simba, halafu anzisha MO SIMBA FC, hakika utaondoka na robo kama si nusu yetu. Halafu mwezi December wakati wa dirisha dogo tutawasajili akina Kagere na wenzake wote maana Simba ya KILOMONI haitoweza kulipa mshahara, kwahiyo mikataba itakuwa imeshavunjika..
Hawa akina KILOMONI wanajua ukiondoka wao kwao ndo shehere maana watapiga tu hela ya viingilio, wao hata kama Simba inashuka daraja haiwahusu, wao shida yao ni kupiga.
HALAFU WANA ULE MSEMO WA KUTIA MASHABIKI UJINGA ETI TUNAIPENDA SIMBA YETU HATA KAMA IKO KWENYE HALI MBOVU, KUMBE WAO NDO WANAFAIDI MAPATO YA TIMU....
Sasa hivi umebana maana zile 10% walizokuwa wanatupiga kama akina Aveva na Kaburu sasa hivi hawazipati..
Hapo utaumia bure na hao wazee we we anzisha MO SIMBA FC siye MASHABIKI tupo....
Tupige kelele sheria ibadirishwe. Hawa akina Kilomoni tunawaonea bure sababu matakwa ya sheria yanataka hivyo, mnataka wasemeje?
 
Inaonekana huyu kijana uamuzi wa kuwekeza Simba ni wake binafsi sio wa Familia ya Mohamed Enteprises
Nakumbuka kipindi kile kachukuliwa na wasiojulikana Familia ya Mzee Ghulam ilisema METL haina mkataba wala makubaliano yoyote na Simba yaliyokuwa yanaendelea ni ya simba na Mohamed Dewji
 
Si alishakuwa na timu akaishindwa ndio akaja Simba.
Aliinunua Africa lyon kam sijakosea, na hakukuwa na fukuto la hasira za mashabiki. Fursa ni sasaingawa itabidi aanzïe chini au anunue timu na aibadili jina. Kunuua mbele ya safari kùa vizee vitajitokeza n kudai ni timu yao. Hapa aanzie chini kabisa. Mashabiki tupo.
Tumechoka na huu ujinga wa serikli, kizuri ahakikishe hachezi mbali, jina MoSimba fc n jezi rangi kuu ziwe zile zile.
 
Back
Top Bottom