Recent content by bichwa mtoto

  1. bichwa mtoto

    Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

    Wadau wa jukwaa hili La biashara nilikuwa nataka kufahamishwa au kujifunza juu ya hii biashara ya Popcorn. Je, Mashine zake zinauzwa bei gani? na je umakini gani unahitajika katika kuziandaa mpaka kuwafikia walaji? Na faida zake zikoje na hasara zake ni zipi walaji wakubwa wa hizi popcorn ni...
  2. bichwa mtoto

    TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

    G Sam, Acha kupotesha Dc huyu alikuwa akisumbuliwa na kisukari ni wiki sasa alikuwa akisumbuliwa na kisukari icho kwa siku za karibuni kikawa kimezidi kupanda mpaka kufikia 29 ambapo ndio kimepelekea na kifo chake na siyo hiyo korona au kujifukuzia kama unavyo danganya watu Sent using Jamii...
  3. bichwa mtoto

    Mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa fani ya IT inalipa kwa kujiajiri. Je, ni kwa namna gani?

    Aaaa uko vizur si ndo huyu tuko nae Geita? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bichwa mtoto

    COVID -19 itatubadilisha sana Waafrika

    Mtaani kwangu usipokuwa unakula msibani wanakucheki tu wazee wa msiba likikupata na wewe siku nao wanakuzilia kula chakula bara Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bichwa mtoto

    NACTE wanalioa tatizo hili la vyeti kucheleweshwa

    Chuo gani hicho cha maendeleo ya jamii kinacho milikiwa na serekali? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bichwa mtoto

    NACTE wanalioa tatizo hili la vyeti kucheleweshwa

    Mimi ni muhitimu wa stashahada kutoka katika chuo kimoja cha maendeleo ya jamii hapa nchini .chuo hicho ni miongoni mwa vyuo vilivyopo chini wizara ya afya,maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto ambapo miongoni mwa vyuo hivyo ni monduli, buhare, uyole na vinginevyo. Sasa lengo la Uzi huu ni...
  7. bichwa mtoto

    Kimondo kikubwa kinachotarajia kupita karibu na Dunia. Hii ni kwa mujibu wa NASA

    Kwa iyo now una 31 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bichwa mtoto

    Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

    Graph, Ni kweli kaka ila business idea huweza pia kupatikana kwa kujifunza kutoka kwa mtu ulio ona anafanya kwa iyo itakuwa siyo mbaya hizo idea za wengine ukazitoa ili tujifunze pia Tupe hizo idea angalau tupate kitu cha kuanzia. idea ambazo hazitahitaji mtaji mkubwa wa kuanzia ili hiyo dhana...
  9. bichwa mtoto

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Njoo pm tushirikishane hiyo idea Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bichwa mtoto

    Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

    Ni vema kwa vijana kujifunza na kuwapa motisha zaidi unatolea na mifano wa ivyo vitu ili kama walikuwa hawajakifikiria basi unakuwa umewasidia na siyo kusema idea huko zipo ila huku hakuna na huzitolei mifano Sent using Jamii Forums mobile app
  11. bichwa mtoto

    Je, niongezee bidhaa gani kwenye kibanda changu?

    Ushauri nimeupokea kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  12. bichwa mtoto

    Je, niongezee bidhaa gani kwenye kibanda changu?

    Kibanda tu unataka mpaka picha Mzee ndo utoe ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. bichwa mtoto

    Je, niongezee bidhaa gani kwenye kibanda changu?

    Habarini wapendwa katika Mungu, lengo la kuja kwenye jukwaa hili ni kutaka wazo la biashara la kuongezea katika kibanda changu nilichoanza. Mimi nipo Geita Mjini, mwezi mmoja uliopita nimeanza biashara ya M-Pesa na mtaji usio pungua milioni moja kwa kukodi kibanda ambacho ndipo naendeshea...
  14. bichwa mtoto

    Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

    Kabla hujaanza kujua kama ni kweli muda huu utumie kuelimisha familia yako dhidi ya ugonjwa wa Covid19 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. bichwa mtoto

    Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

    Kuruka ruka kwa maharagwe kwenye chungu ndio kuiva kwake Sijui nani amesema ukweli na yupi ni muongo ila kama Raia wote fanyeni kazi kwa bidiii mpate pesa watoto wenu waitwe wa kishua Umeshindwa kuajili hata mlinzi wa laki moja nyumbani kwako unakuja kujadili ulinzi wa Rais ili ukamfanye nini...
Back
Top Bottom