Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Sure
Mtaani kwangu usipokuwa unakula msibani wanakucheki tu wazee wa msiba likikupata na wewe siku nao wanakuzilia kula chakula baraNi hivi, watu wetu hawana shughuli za kufanya hivyo matukio kama haya yanapata kipaumbele kwenye ratiba zao. Pia, kuwepo na ratiba za vyakula na vinywaji ni incentive kwa sehemu ya jamii zetu masikini kuhudhuria kwa wingi. Aidha, mila zetu zinamtizama mtu asiyehudhuria msiba kama adui bila kuzingatia factors nyingine. Hivyo mwanangu uhudhurie misiba hakuna namna.
Hata Kama angeipata hiyo laki nne mwisho wa siku angekufa tu. Kufa kunatokana na sababu ya kufa. Na sababu ya kifo inaweza kuwa ugonjwa na sio kushindwa kumudu ghalama za matibabu. Ingekuwa hivyo matajiri wasingekufa.
Uuwii, eti nesi aliyemshikia mkoba wakati anajifungua naye atakuwepo, on my way to Machame, mama mdhamini wa ndoa yangu amefariki..🥱🥱
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah weweeeeeh mbavu znauma uwiiiiiiiiihNa kuna wale wanaokuja special kujionyesha wanamjua mfiwa aunmarehem. Yaani mtu Busy analia kuliko hata ndugu wa karibu. Akitoka hapo anaenda kumuuliza Camera man “Vipi ndugu yangu ulinichukua video wakati nalia? Kama hujanichukua nikae kwa pale ivi nilie unichukue”
Sent from my iPhone using JamiiForums