Innalilahi wainna ilayhi rajiun, msiba upo Sinza Mori karibu kabisa na Princess Bar. Yaani ukitokea Bamaga, kituo cha daladala kinachoitwa Mori,kuna barabara unakata kushoto, mbele kidogo upande wa kushoto pana Bar yenye hilo jina,kisha wafuata hako kanjia (pana njia mbili elekea ya kushoto)...
umetuelewesha maneno ya busara sana, ila namsikitikia kwa kupata mume asiyemjali mkewe hasa katika kipindi alichonacho "kwa tulio wazazi ni kipindi kigumu" mungu amvushe salama. Lakini kweli huyo baba mtarajiwa iwapo alijua kuwa ni lazima kujifungulia kwao angemhamisha mapema na sio zimebaki...
Yaani una kila dalili za kuibomoa ndoa yako, ila na huyo shemeji yako kwa nini anakuandalia mpaka nguo? ina maana kama si yeye na iwapo mkeo yu safarini nidada wa kazi huwa anaandaa au?
Kiukweli hapo unakosea kila kitu kina mipaka na huo mswaki anaupata wapi mpaka kukuwekea dawa? mambo mengine...
Pole,
ila ushauri wa bure ambao ndio suluhisho la kudumu ni kung'oa kwani kama ulivyoambia wa Dr.kuna jino lingine linaota juu ya lingine wategemea nini. Acha woga nenda kapate tiba kwa Dr. mzuri wa meno ukitilia maanani kwamba dosari ya kukata mshipa mdomoni kimakosa itakusababishia tatizo la...
mpe maji ya uvuguvugu mara kwa mara ila kiasi kidogo sana (kama nusu ya kijiko kidogo cha chai),itamsaidia mara nyingi kila anapomaliza kunyonya maziwa ya mama .
Watanzania, ni busara kila mmoja aheshimu dini ya mwenzie ili tulinde Amani yetu, cha msingi tuna mungu mmoja na sote tulizaliwa na tutakufa kwa wakati stahili. Chondechonde wapendwa tudumishe Amani, vita mbaya msione katika TV tuu.,
Eh mola tuepushe na hili balaa la kututenganisha kwa udini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.