Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

habari,
nami pia ni victim wahiyo maneno. Ila nimegundua tangu 2009, natumia dawa, nafanya mazoezi hasa ya kutembea mwendo mrefu kwa angalau saa moja nzima kwenda na kurudi,pia najitahidi kufuata masharti ya chakula. Pia nakunywa mafuta ya ubuyu daily kijiko kimoja kikubwa cha chakula.
Kazi ni kwetu.

Asante kwa ku-share Bichau, naomba kusaidiwa hapo kwenye mafuta ya ubuyu. Yanasaidia nini? Je, wewe ni Type I au II.
Mimi kwa muda wote ambao mgonjwa nimejaribu kutumia alternative medications nyingi sana hata idadi sina (Chinese, Korean, kienyeji concoctions etc.), hadi imefika pahala nimeamua kuwa nitachoma insulin tu unless otherwise. Kama ningeweza kujua hayo mafuta yanasaidia kitu gani ingekuwa poa sana as I am running out of sites to inject.
 
Last edited by a moderator:
Aunt wangu aliishi na DM for like 40 years, very healthy life. Kilichomuua ni uzee I should say (80 yrs).
Usivae open shoes kuepuka vidonda. Kwa wadada, ukifanya pedicure angalia usiloweke miguu muda mrefu na wasikuchimbe kucha.
 
Habari ya kutia moyo hii, thanks!

Regarding shoes, they should be comfortable shoes, not pinching au vinavyobana au vilivyo loose sana.
 
Habari ya kutia moyo hii, thanks!

Regarding shoes, they should be comfortable shoes, not pinching au vinavyobana au vilivyo loose sana.
Na epuka kupata sugu. Hata ikitokea sugu (hii ni kwa wadada haswa shauri ya high heels), usiisugue. Ipake mafuta hadi ilainike. Kisukari is not a death sentence. If it helps kujua, babangu ana kisukari 10 years now. Hajaanza kutumia dawa wala insulin, anazingatia diet tu. anaweza hata kufunga kwa maombi. Alishapata kidonda mguuni juu ya kubasi iliyomfinya, lakini kilipona baada ya miezi mitatu. Discipline ndo muhimu zaidi. Kuna presentation nilishafanya ya Epidemiology of DM, nitakuangalizia na kuiweka, huenda ikasaidia wengi. Uzee huu, nikisahau plz nisumbue kwa pm.
 
Well guys forever living products are natural, they are not medical products what they do in the body they restore the body functionality

forever living Products (FLP) : Forever Living Products for Diabetes care

Hizo expensive products zinawafaa walioko ughaibuni. Tanzania kuna kila aina ya fresh vegetables and fruits, na fibre food stuffs za kumwaga. Badala ya kula kidoge, bakuli la salad lenye dimu na pilipili kidogo ni more refreshing. Sangara kwa omega 3 ndo nyumbani kwao, akichomwa na ndimu tu mgonjwa anaishi a healthy but enjoyable lifestyle. Najua ni biashara, lakini ni unnecessary burden and not fun at all!
 
King'asti ndugu yangu hivi unajua dhamani ya afya ndugu yangu, kama hujui dhamani ya afya subili upate maradhi ndo utaona....angalia watu wanaomba msaada wa kwenda nje kwa ajiri tu ya matibabu. Products za foreva unasema zinabei ghari.....haya sawa if you think health is expensive then try diseases. By the way namsaidia Gurta aliyeomba kufahamu kuhusu dawa za kisukari
 
Asante kwa ku-share Bichau, naomba kusaidiwa hapo kwenye mafuta ya ubuyu. Yanasaidia nini? Je, wewe ni Type I au II.
Mimi kwa muda wote ambao mgonjwa nimejaribu kutumia alternative medications nyingi sana hata idadi sina (Chinese, Korean, kienyeji concoctions etc.), hadi imefika pahala nimeamua kuwa nitachoma insulin tu unless otherwise. Kama ningeweza kujua hayo mafuta yanasaidia kitu gani ingekuwa poa sana as I am running out of sites to inject.

Habari,
yanapunguza uzito pamoja na kurekebisha kiwango cha sukari mwilini, pia kwa wenye VVU yanasaidia kuongeza CD4 counts.
 
habari,
nami pia ni victim wahiyo maneno. Ila nimegundua tangu 2009, natumia dawa, nafanya mazoezi hasa ya kutembea mwendo mrefu kwa angalau saa moja nzima kwenda na kurudi,pia najitahidi kufuata masharti ya chakula. Pia nakunywa mafuta ya ubuyu daily kijiko kimoja kikubwa cha chakula.
Kazi ni kwetu.
Mafuta ya ubuyu yanaaminika kuwa na kazi nyingi sana, mbali ya kisukari pia huongeza kinga mwilini. Labda kwa upande wa kisukari na madhara yake, mafuta hayo inadaiwa hupunguza hata kuondoa cholesteral mwilini na kwa maana hiyo kudhibiti shinikizo la damu ambalo hata kama huna kisukari basi utanuafaika nayo.

Kisukari kina tabia mbaya ya kupunguza ama kuondo utamu wa ndoa. Kwa hiyo mambo kama hayo yanawahusu wote mama na baba, ingawa baba huonekana zaidi kuelemewa kwa kuwa dalili ziko wazi zaidi unapozungumzia uwezo wa kuruka majoka. Maana yake ni kwamba 15mls asubuhi na jioni utakuwa umeyafunga matatizo mengi golo la kisigino. Ukiwa unaweza kwa kweli hata mara tatu katika masaa 24 ni bora zaidi.
 
Duh, huu ugonjwa unataka umakini sana. Mungu awape nguvu ambao tayari mnao.
Hakuna aliyeko salama. Zamani tulizoea kufikiri watu wanene, wavivu na matajiri tu ndio wanapata kisukari na shinikizo la damu. Lakini siku hizi sivyo. Mavyakula yenye kemikali hayo huko supermarket na hata bustani zetu zinazopulizwa madawa ati kudhibiti maradhi ya mimiea, preservatives kwenye mazao nk, huleta shida baadaye.

Je, kuna mtu anakula chakula kutoka shambani kwake tu? unaponunua sokoni au dukani chakula chochote au hotelini, hujawa salama sana. Ni suala la muda tu. Kila mmoja ajihadhari. Usipopata leo huenda zamu yako ni kesho. Ni kama ukimwi vile, hatuchekani tena siku hizi wala kunyanyapaana. Unampa pole aliyeunyaka mapema, wakati unaomba Mungu akuepushie dhahama hiyo kukujia wewe sasa na au siku zijazo.

Mungu peke yake ndo anaweza kuingilia kati. Siku za mwisho wa dunia watu watakuwa na akili sana na akili zao zitawaangamiza wenyewe. Hasara ya maendeleo ni kujiangamiza kwa binadamu - kwa kujua ama kutokujua.
 
Mafuta ya ubuyu yanaaminika kuwa na kazi nyingi sana, mbali ya kisukari pia huongeza kinga mwilini. Labda kwa upande wa kisukari na madhara yake, mafuta hayo inadaiwa hupunguza hata kuondoa cholesteral mwilini na kwa maana hiyo kudhibiti shinikizo la damu ambalo hata kama huna kisukari basi utanuafaika nayo. Kisukari kina tabia mbaya ya kupunguza ama kuondo utamu wa ndoa. Kwa hiyo mambo kama hayo yanawahusu wote mama na baba, ingawa baba huonekana zaidi kuelemewa kwa kuwa dalili ziko wazi zaidi unapozungumzia uwezo wa kuruka majoka. Maana yake ni kwamba 15mls asubuhi na jioni utakuwa umeyafunga matatizo mengi golo la kisigino. Ukiwa unaweza kwa kweli hata mara tatu katika masaa 24 ni bora zaidi.

Asante kwa hilo.
 
Asante kwa hilo.

Angalizo: Wachakachuaji ambao wanapenda kunufaika kwa kutmia matatizo ya wenzao wapo wengi na huongezeka kila siku. Imegundulika wapo wanaochanganya mafuta ya ubuyu nusu kwa nusu na mafuta ya ufuta.

Ingawa vyote ni vyakula, matokeo yake hayafanani. Be sure of the source of Ubuyu unaoununua. Tumbo likianza kuuma baada ya kutumia unachodhani ni ubuyu (hasa maumivu kupita kiasi mwanzoni na au maumivu tofauti na uliyozoea zamani ulipotumia mafuta hayo, ujue possibility ya kuchakachuliwa ipo)
 
Mimi ninao kitambo........natumia KARELA....mazoezi na muhimu zaidi kutokuwaza kuwa nina kisukari na kuwa ni gonjwa baya....DIABETES ni rafiki yangu

Soma hapa kwa makini: http://healthydietforyou.wordpress.com/2008/04/12/bitter-gourd-juice-for-diabetics/

kakaracopyrightedimage1.jpg
 
Tafadhali naomba ufafanuzi, hiyo picha ni tunda, mboga au? na matumizi yakoje yanapatikana wapi?
 
Tafadhali naomba ufafanuzi, hiyo picha ni tunda, mboga au? na matumizi yakoje yanapatikana wapi?

Haya ni matunda na mboga pia kama bamia.Yanapatikana soko lolote la uhindini (Kisutu kwa Dar) ukiweza fanya kama nilivyofanya mimi......nalima mwenyewe.....ILA NI MACHUNGU....kwa kweli yamenisaidia sana na ni Dr Abbas ndiye aliniambia niyatumie na niachane na Glucophages
 
Rudia kusoma post yangu labda utanielewa. Sijasema ni ghali, nimesema ni mzigo usio muhimu (unnecessary burden). Ghali sio necessarily quality. A healthy diet ni bora kuliko hizo supplements. Well, kama mtu anapenda na anamudu sio mbaya. Lakini utafiti unasisitiza going green, going organic. Unaishi ukifurahia maisha!

By the way, tunasaidiana Gurta na wengineo wengi ambao wanahitaji ushauri kuhusu DM. Kila mmoja wetu ni prospective victim wa hili tatizo. Should I say from a professional point of view, real cause of DM is not even know?
King'asti ndugu yangu hivi unajua dhamani ya afya ndugu yangu, kama hujui dhamani ya afya subili upate maradhi ndo utaona....angalia watu wanaomba msaada wa kwenda nje kwa ajiri tu ya matibabu. Products za foreva unasema zinabei ghari.....haya sawa if you think health is expensive then try diseases. By the way namsaidia Gurta aliyeomba kufahamu kuhusu dawa za kisukari
 
Unayatumia kama salad yakiwa mabichi?
Haya ni matunda na mboga pia kama bamia.Yanapatikana soko lolote la uhindini (Kisutu kwa Dar) ukiweza fanya kama nilivyofanya mimi......nalima mwenyewe.....ILA NI MACHUNGU....kwa kweli yamenisaidia sana na ni Dr Abbas ndiye aliniambia niyatumie na niachane na Glucophages
 
Kuna suala la matumizi ya SWEETENERS........kuna controversies nyingi sana behind these things..........DIET PEPSI, COKE LIGHT SUGAR FREE ICE CREAMS etc nk.,.........unaishia kuwa addicted na madawa yake kama Sodium Saccharin na Aspartame
 
Back
Top Bottom