I somehow agree to some points in here ila tatizo kubwa lakwetu sis wabongo ni chuki zisizo na msingi mi nadhani mtu kumuelimisha mtu si kitu kibaya ila utakuta kuna watu waingia kwenye mablog ya watu kutukana tu watu all the time je hii ni haki???
Hata kama blog inauhuru sidahni kama ni jambo...
Hapa kuna kazi mi sijui sheria ipi watatumia ila kasheshe yake ni pale alipoweka picha ya JK tuuuu ndo alijiharibia shame on him kwa kweli. Alitukana mpaka marafiki zake akaona haitoshi, akaingia viongozi and then mzee wa mji mwenywe hapo ilikuwa too much. Na hayo malalamiko 6850 mbona madogo...
You don't need to eat yogurt and live on a mountaintop, but you do need to floss
By Deborah Kotz
Posted February 20, 2009
The biggest factor that determines how well you age is not your genes but how well you live. Not convinced? A new study published in the British Medical Journal of...
Mi nashauri huyo jamaa kama siyo owner of zeutamu awahi polisi maana asijeumia bure kwa mabeef yake na mtu ane mpakazia lakini all in all why him?????? Na kama si yeye mwenye picha ajitokeze kukana haya mashtaka ndo tuone.
Point point point ni umbea kwa kwenda mbele na hakuna kingine. Kama mtu anapenda ngono zeutamu haiwezi kumstopisha. Na kwanza kwa nini katika watu wote duniani waangukiwe hao wawili tu? Mi Nahisi kuna ukweli ndani yake hao jamaa wanahusika somehow na zeutamu. Wenye kujiheshimu wanajuhesimu...
Utacheka sana ila tunaendelea kupambana na nyie mafisadi wa kuharibu majina ya watu.:mad: Haijalishi what u think but I think wewe na familia yako yote ndo mafisadi wa ngono. Wewe nahisi ndo mtumaji picha za watu huko maana mtu mwenye akili timamu hawezi kutetea huo upuuzi. Shame on you maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.