Ukisikia kitu usichokijua kajifunze usikosoe kwanza.
Nimetafakari nikahisi biblia imezungumzia pande mbili:- 1Mungu, 2Shetani. Yale ya Mungu historia imeanza na mambo ya uungu ie; hapo mwanzo Mungu.....Adam na Eva....Yale ya shetani ie; nyoka akamdanganya Eva....... Hii ni kuleta mtiririko...
Aligoma si alishajua mema na mabaya kutoka kwa Lucifer. Kumbuka Lucifer anajua siri nyingi za Mungu ndo maana hudanganya watu watende zambi halo akijua ukweli uko wapi. Nisawa na mwanaume anayetaka kulala na mwanamke atamdanganya kwa njia zote hata Pete atakuvalisha hali moyoni anajua ameacha...
Uzi uko vizuri, ila Lilith ndiye aliye mwambia Lucifer akamdanganye Eva, tunda la mti wa kati ni ngono ingawa biblia imeeleza kwa mafumbo. Adam na Eva hawakujua shida wala dhambi walikua wakiishi kwa utakatifu mno. Ila Lucifer na lilithi walijua kila aina ya dhambi na kua mwisho wao ni jehanamu...
Babangu ni mchungaji alitukataza kuangalia kipind cha sheh yahaya badae nikagundua kumbe ni ushetani mtupu na kuona baba alikua sahihi ingawa nilidhaji awali alikua anatuonea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ukimwi unatisha usiombe kukutwa. 2013 niliambiwa na ndugu yangu kua x wangu ameathirika so napaswa kucheki afya yangu, hapo ilikua mwaka 1 baada ya kuachana na tuliishi miaka 7 alipata zali la pesa nyingi akaanza dharau nikaamua kumtema ,kabla ya kuachana aliugua kifuakikuu nikamuuguza...
Mungu hapendezwi na hofu, ukiamka sali kabla ya kufanya chochote, mwombe Mungu akulinde na ratiba yako ya Siku nzima. Na umtangulize Mungu kwa kila jambo, hata ukikutana na huyo dada sali kimoyomoyo ukiamini Mungu ndiye mlinzi wako. Fanya mazoezi uondoke zako,
Duh niliogopa sana, na kusali sana asubuhi nilipoikumbuka ukizingatia naotaga sana Niko primary kijijini darasa la 5 au la 6 wakati nilimaliza primary toka 98 sijawah ota secondary, university wala masters hii iko vipi ni sawa au?
Mshana huwa nikiota ndoto sikumbuki ila zikiwa za kupambana na kukemea nakumbuka, but juzi nimeota nakula nyama tena kama ya mfupa wa paja hv. Nilimaliza na baadae kurudia ile mifupa nakunyofoanyofoa vilivyobaki.
Kama zilikua za kichawi nifanyeje? Tena siku hiyo nilikua na jirani yetu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.