Recent content by Bibboo

  1. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana wangu ananiomba omba sana hela

    Wee mpe tuu bana
  2. Bibboo

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Asante Makonda, ila kuna watu umewaacha
  3. Bibboo

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anawadanganya wafuasi wake eti wimbo wake unaongoza UK!

    Acha maneno weka muziki
  4. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nikajitambulishe kwao ila anasema hakuna haja

    Haina shida tuendelee kuishi tuu
  5. Bibboo

    JamiiForums Tanzania Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

    Baba zima hujielewi, utabaki hivoivo[emoji57]
  6. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila mtoto. Naelekea kumuoa

    Una uhakika gani wewe huna tatizo mkuu? Weka kithibitisho hapa! Maana wanaume kwa kuwaangushia wanawake majumba mabovu hamjambo
  7. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Mungu anakuona dada! Biblia inasema hivi, aliye mwaminifu, ktk lililo dogo sana, huwa mwaminifu hata ktk lililo kubwa sana" hivi tuu mumeo hana kazi unamsaliti kabisaa, je ingetokea amepata ulemavu wa maisha si ndiyo ungeolewa kabisa na huyo bwana" kumbuka Mungu yupo dada kama mngemwambia...
  8. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  9. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi unajivunia kwa mpenzi wako wa zamani?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti sasa wako tayari kwa ndoa za mkopo

    Kama umekosa mtu wa kukuoa bora utulie tuu, kulazimisha ndoa haifai.
  11. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaza hivi vihela nilivyojichanga nivitumie kwenye gharama za harusi ama nivute usafiri

    Mambo mengine hayana hata haja ya kuomba ushauri
  12. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amemuachisha kazi mumewe kawa baba wa nyumbani

    Huyo mke kiboko mwee! Kumgeuza mtoto wa mwanamke mwenzie ndondocha inahusuuuuu?
  13. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anahisi mume wake ni shoga

    Mmmmh dalili ya mvua ni mawingu, stukaaaaaaaa
  14. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliapa kuyafuta machozi ya mke wangu mpaka naiaga dunia

    Hongera sana...ila c kwa barua hii[emoji30][emoji30]
  15. Bibboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume nani kawaroga? Matukio yenu ya kujinyonga yamekuwa mengi

    Hili nalo nenoo[emoji108][emoji108] hivi mtu unaanzaje kujinyonga kisa penzi? Huu ni upuuzi mkubwa
Back
Top Bottom