Anahisi mume wake ni shoga

Anahisi mume wake ni shoga

Npe Namba Nimtafute Then Nitakujibu
Wanasemaga
No Reseach No Right To Say
 
Mh...sidhani kama huyo ni shoga

Labda amepata dem mdogo mdogo huko nje
 
Du,kumbe ukibadilika na kuwa mtanashati siku hizi basi wewe shoga. Nakumbuka maneno ya mzee fulani alisema "katika maisha yako usipende mwanamke akuzoee wala kukuelewa"
 
Tatizo ni kujipulizia perfum au nn?!...umejaribu kuchunguza marinda yake?!
 
Mi mtazamo wangu kama ushapata mke mwenza so jipange tu sasa hivi mumeo kuna mtu anamuendesha akiambiwa vaa kitu flan anavaa kama vipi JARIBU kumpa nguo avae lazima atakataa anataka zile anazoambiwa mzuri na katoto kapya
 
Mmmmh dalili ya mvua ni mawingu, stukaaaaaaaa
 
Si shoga Bali alipita kipindi ambacho hakufanya hayo mambo na Sasa Amefanya it's all about brain
Learn to be positive.
 
Back
Top Bottom