Niliapa kuyafuta machozi ya mke wangu mpaka naiaga dunia

Dah hayo maandalizi ya kupata mtoto si ya kawaida. Akiwa wa kike sasa na wewe umefanya mazoezi ya kupata wa kiume?
 
kweli mkeo ana bahati,,sikujua kama bado kuna mwanaume wa hivi...
Kumi kwa mmoja mkuu walio wengi wanaona kumuonyesha mke / mpenzi mapenzi ya kweli ni utumwa kumbe sio kweli.

Ila wanahitaji kubadilika mana mwenzao huyo kaonyesha mfano sio kutukandia kila siku.
 
Hongera ndugu yangu, ndoa yoyote inahitaji tujue kwanini tulioana. Mungu amsimamie kijacho aje salama na wengine kadri mlivyopanga. Nawatakia furaha na Amani katika maisha yenu.
 
kweli mkeo ana bahati,,sikujua kama bado kuna mwanaume wa hivi...
Wapo ndugu wapo sana usikate tamaa, mmoja wapo ni mume wangu, japo hafanyi yote kama ya huyu ndugu ila anafanya mengi yaliyonifanya nibadilishe mentality kuhusu neno "ndoa" ukizingatia nimelelewa na single mama ambapo kwangu nilikuwa naiona ndoa si sehemu salama.
Siku anayokaa baa na marafiki ni ijumaa baada ya kazi jumamosi na jumapili ni siku za familia, what more I can ask !? I'm tapping from this blessings hallelujah!
 
"A Royalt of a woman is measured when her man has nothing and a royalt of a man is measured when he has everything"
Pongez Nying Kwa Mkeo mpaka sasa she has been royal to you!
Nakuombea Mungu Akuwezeshe na wewe to remain royal to her now that you are on your way to have everything, God Is Faithful will give you everything but when you ve it all please be royal to her, she deserve it!
na usimuache Mungu Ukishapata Kila Ulichotaman!Kila la Kheri!
 
Daah Mungu awasimamie ndoa yenu, na upendo kati yenu uzidi.. Post yako imeniliza na kunipa moyo pia maana story nyingi za ndoa hukatisha tamaa watu kuingia ila ya kwako imenipa moyo , Wenye ndoa muwe mnashare na mazuri sio kila cku mabaya, nmejifunza mengi asante
 
Back
Top Bottom