Mwaka mmoja bila mtoto. Naelekea kumuoa

Mwaka mmoja bila mtoto. Naelekea kumuoa

Endelea na mchakato wa ndoa, kupata mtoto ni majaliwa kwa mwenyezi mungu.
 
Atakua anatumia contraceptives, ndoa ni kwa shida na raha,huwezi vumilia mwache mtoto wa watu jmn..
 
Vijana wa siku hizi wanaoana kwasababu wamezalishana lkn hawana upendo moyoni! Kama umempenda kwa dhati muoe tu na maisha yako yatakuwa raha siku zote.
 
Duh pole sana, Baada ya kuangaika sana hospital Baadae kwenda kwenye majumba ya ibada na mwisho wameenda kwa waganga lakin hawajafanikiwa pata mtoto na Mume anahitaj mtoto apo hospital wameambia kuwa Mume Tatizo na wamekunywa miti shamba ili wapate mtoto, Siku moja ndio Mume akaokota daftari kuangalia vizuri kumbe ni la mke wake kwa ajili ya kwenda hospital kuchoma sindano za kuzuia mimba Mume alilalamika sana kumbe mke wake alikuwa anaonga madokta waseme kuwa mume Ana MATATIZO.
Kwa naye inaweza kuwa hiyo story ambayo ilitokea mkoa fulani hivi
 
Habarini za weekend wana jukwaa.

Ni mwaka sasa umetimia nikiwa na mchumba wangu. Na sasa nshatangaza ndoa tayari.
Ila nasita kidogo kuendelea na mchakato kwa sababu nahisi huyu mchumba anaweza kuwa na tatizo la uzazi. Tumekuwa tukinjunjana sana hata kwenye siku za hatari, lakini bahati mbaya haijawahi kutokea akapata ujauzito.
Mimi binafsi sina tatizo la uzazi kwa sababu nilishathibitisha hilo kwa 100%.

NB: Huyu mchumba wangu pia ana tatizo la kupishana sana tarehe za period.

Mnanishaurije wana jukwaa, niendelee na mchakato? Au nichukue hatua gani?
Una uhakika gani wewe huna tatizo mkuu? Weka kithibitisho hapa! Maana wanaume kwa kuwaangushia wanawake majumba mabovu hamjambo
 
Habarini za weekend wana jukwaa.

Ni mwaka sasa umetimia nikiwa na mchumba wangu. Na sasa nshatangaza ndoa tayari.
Ila nasita kidogo kuendelea na mchakato kwa sababu nahisi huyu mchumba anaweza kuwa na tatizo la uzazi. Tumekuwa tukinjunjana sana hata kwenye siku za hatari, lakini bahati mbaya haijawahi kutokea akapata ujauzito.
Mimi binafsi sina tatizo la uzazi kwa sababu nilishathibitisha hilo kwa 100%.

NB: Huyu mchumba wangu pia ana tatizo la kupishana sana tarehe za period.

Mnanishaurije wana jukwaa, niendelee na mchakato? Au nichukue hatua gani?

Hao ni wanawake ni wajanja n kupata mimba atake mwenyewe,ila hiyo sio case ww weka tunda ndani uoe uyo binti
 
Duh pole sana, Baada ya kuangaika sana hospital Baadae kwenda kwenye majumba ya ibada na mwisho wameenda kwa waganga lakin hawajafanikiwa pata mtoto na Mume anahitaj mtoto apo hospital wameambia kuwa Mume Tatizo na wamekunywa miti shamba ili wapate mtoto, Siku moja ndio Mume akaokota daftari kuangalia vizuri kumbe ni la mke wake kwa ajili ya kwenda hospital kuchoma sindano za kuzuia mimba Mume alilalamika sana kumbe mke wake alikuwa anaonga madokta waseme kuwa mume Ana MATATIZO.
Kwa naye inaweza kuwa hiyo story ambayo ilitokea mkoa fulani hivi
Duh hatari
 
Habarini za weekend wana jukwaa.

Ni mwaka sasa umetimia nikiwa na mchumba wangu. Na sasa nshatangaza ndoa tayari.
Ila nasita kidogo kuendelea na mchakato kwa sababu nahisi huyu mchumba anaweza kuwa na tatizo la uzazi. Tumekuwa tukinjunjana sana hata kwenye siku za hatari, lakini bahati mbaya haijawahi kutokea akapata ujauzito.
Mimi binafsi sina tatizo la uzazi kwa sababu nilishathibitisha hilo kwa 100%.

NB: Huyu mchumba wangu pia ana tatizo la kupishana sana tarehe za period.

Mnanishaurije wana jukwaa, niendelee na mchakato? Au nichukue hatua gani?
Kukunjana kila siku nayo nitatizo.
Hizo mbegu zinapataje mda wa kukomaa!
 
Back
Top Bottom