BBC Dira TV: Watafiti kutoka chuo kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI sasa wanaweza kuishi karibu umri sawa na watu wasio na virusi hivyo. Utafiti huo umeonesha wagonjwa wanaweza kuishi miaka kumi zaidi, tangu dawa za kufubaza virusi zianze kupatikana...
Kuna wale wanaojifanya wanaume kumbe ni wanaume suruale kutwa utakuta wanashinda kwenye kioo kujipodoa. Hawa hupenda kuvaa vimodo usipoangalia vizuri utadhani ni binti hadi kuongea wanabinua midomo na kubana pua, kwa kuunga unga ila ukimkuta kwenye mitandao anavyojisifu utadhani ni kweli kumbe...
nipo kwenye wakati mgumu kweli kweli baada ya kukuta hivi vidonge vimefichwa nimemuuliza akaniambia huwa ni viagra na alipewa na rafiki yake nashangaa siku za karibuni kabadilika na kunifanya sana bado sijaelewa kwa nn atumie haya mavidonge nimfanyeje huyu jamani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.