bi shostee
Member
- Jan 6, 2017
- 36
- 69
hili suala kidogo nahitaji kupata uelewa nalo kidogo kuna uhusiano gani wa kimaumbile kwa asilimia kubwa wanaume wanene ambao wana vitambi na makalio huwa na vibamia yaani ukitoka nae tuu ukikohoa kinatoka... Na huwa wanaume warefu wengi ambao ukikuta makalio yapo Flat mzigo utaukuta upo wa kutosha sasa hapa sijui kunauhusiano gani wa kimaumbile kwa hili ningependa kulijua kiundani na kujifunza zaidi...