Mwanaume anaejisifia sana ni mweupe sana kwenye majambozi

bi shostee

Member
Jan 6, 2017
36
69
Kuna wale wanaojifanya wanaume kumbe ni wanaume suruale kutwa utakuta wanashinda kwenye kioo kujipodoa. Hawa hupenda kuvaa vimodo usipoangalia vizuri utadhani ni binti hadi kuongea wanabinua midomo na kubana pua, kwa kuunga unga ila ukimkuta kwenye mitandao anavyojisifu utadhani ni kweli kumbe msingi kiuno tuu na ukiingia nae faragha dk tuu kaishiwa nguvu kabisa, tukija kwa wale wanaoshinda gym kutwa nzima kutanua vifua ili wapendwe na kulelewa na mijimama mjini.

Hawa nao ni tatizo utakuta wanajisifu tuu mimi noma napiga mzigo wa maana ila unaweza kutoka nae akawa kama bodgad tuu kwenye majambozi akawa mweupe kiukweli tunapoteza nguvu kazi kwa vijana kupenda utelezi sana mmesahau kutafuta pesa kutwa mnashinda kujisifia na kusema wanawake hawafiki kileleni mapema tafuteni pesa acheni kulia lia pesa zikiwepo kumfikisha mwanamke kileleni ni chap tuu.
 
Kwa hiyo Avatar mbona hizo dakika mbili nyingi bibie. Mimi picha tu tayari hoi, wacha nisave nina kazi nayo badae. NB:- "Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona Ufalme wa Mbinguni". SOMO:- Kadri unavyotafuta pesa ndivyo unavyopishana na Ufalme wa Mbinguni.
 
Kwa hiyo Avatar mbona hizo dakika mbili nyingi bibie. Mimi picha tu tayari hoi, wacha nisave nina kazi nayo badae. NB:- "Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona Ufalme wa Mbinguni". SOMO:- Kadri unavyotafuta pesa ndivyo unavyopishana na Ufalme wa Mbinguni.
 
lack of money is the beginning of all evil..wanaume tafuteni pesa..huenda zinachangia kidizaini kumfikisha Eva kileleni...sijui kilele anachozungumzia mtoa mada ni cha mlima kilimanjaro au ni everest?
 
Kuna wale wanaojifanya wanaume kumbe ni wanaume suruale kutwa utakuta wanashinda kwenye kioo kujipodoa. Hawa hupenda kuvaa vimodo usipoangalia vizuri utadhani ni binti hadi kuongea wanabinua midomo na kubana pua.kula kwa kuunga unga ila ukimkuta Kwenye mitandao anavyojisifu utadhani ni kweli kumbe msingi kiuno tuu na ukiingia nae faragha dk tuu kaishiwa nguvu kabisa ...tukija kwa Wale wanaoshinda gym kutwa nzima kutanua vifua ili wapendwe na kulelewa na mijimama mjini hawa nao ni tatizo utakuta wanajisifu tuu Mimi noma napiga mzigo wa maana ila unaweza kutoka nae akawa Kama bodgad tuu Kwenye majambozi akawa mweupe kiukweli tunapoteza nguvu kazi kwa vijana kupenda utelezi Sana mmesahau kutafuta pesa kutwa mnashinda kujisifia na kusema wanawake hawafiki kileleni mapema tafuteni pesa acheni kulia lia pesa zikiwepo kumfikisha mwanamke kileleni ni Chap tuu...............
Huyo kwenye avatar ni wewe?

tapatalk_1494357430293.jpeg
 
Back
Top Bottom