Recent content by Bhutuku

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

    Wakara wanafuga mamba ukifika ukara Kila nyumba ina mamba wao wanamuita "Bhulalo"
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umejiandaaje Tarehe 29 Oktoba?

    Watanzania Wana andamana mitandaoni, hakuna mtu atatoka barabarani labda waambiwe Kuna mapokezi ya Simba au Yanga hapo watajaa mitaani
  3. B

    JamiiForums Tanzania Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

    Pweza na Ngisi hao ndiyo samaki was supu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Kadinali Rugambwa ikulu Chamwino mkoani Dodoma, 27 Agosti, 2025

    HIi couple imenoga Hii couple imenoga
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu wa mikoa ya Mara na Kilimanjaro wanapenda sana kufuatilia siasa za Kenya?

    Kipindi Niko mdogo kwetu kuanzia sabuni, chumvi, cement, mafuta ya kula na bidhaa nyingine nyingi tulikuwa tukitumia za Kenya, Redio tulikuwa tukisikiliza KBC, Citizen za Tanzania ilikuwa ni Redio Tanzania na R.F.A baadae Redio One na nyingine ndiyo zikaanza kusikika, nakumbuka mwaka 2002 baba...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi nishike uke wake tukiwa faragha

    Mwanzoni alikuwa anakubali kuchezewa? Ukinijibu ndipo nitakushauri
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tuzitambue gari nzuri za abiria na zenye huduma bora 2025. Nipe taarifa za basi kali kutoka mkoa hadi mkoa tafadhali

    WIFI Dar to Nachingumu usafiri mzuri huduma za kimataifa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

    😂😂 Kipochi manyoya
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    VIpaji maalumu ndo vipaji Gani hivyo? Vipaji maalumu ndo vipaji Gani hivyo? Vipaji maalumu vya wakina Kiliba yaani sikuhizi mwanachuo Hana tofauti na mpiga debe stendi,
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata Lishangazi la Kireno nimekuja kwao Portugal wamechoka kama bongo tu

    Mbona picha za marangu hizo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tazameni uongo wa Mathematics

    Kaangalie Ubongo Kids utaeleweshwa
Back
Top Bottom