Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,954
- 56,077
Mfano mzuri ni Sudan 2018–2019 (Hirak movement) Katika kipindi cha maandamano dhidi ya Omar al-Bashir, kulikuwa na vizuizi vya mitandao na mawasiliano ili kupunguza mawasiliano baina ya waandamanaji.Machafuko kwa maandamano au?.
Maandamano mtatakiwa mjiorganise . Kwa sim au kwa group nk. Na mjue mnakutania wap.
Sasa wakizima mtandao. Utajua unaenda wap?.
Walivyojiroga kuzima mitandao, maandamano yalizidi kuwa makubwa na hatimaye yalifanya Bashir kupinduliwa (Aprili 2019).