Recent content by Bhushu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Habari ndugu, ulipata mtu wa procurement?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    naomba msaada wa vote namba na sub-vote namba za idara ya afya
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tafadhali!

    Kuna chuo nchini Uganda nimeomba kusajiriwa kwa masomo. Nimetuma maombi nikatumiwa reference namba kwa ajili ya malipo, lakini nashindwa kulipa kwa kutumia hizo reference namba maana nimeeenda benki CRDB na NMB. Nikawaelekeza wananiambia haiwezekani kulipia kwa kutumia hizo reference namba...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Niliyoona Hospitali ya Taifa Muhimbili: Serikali isicheze na afya za Wananchi maskini

    Mbona povu limekutoka, au wew ndo unauza dawa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya duka la Airtel (Airtel Money Branch)

    Kwa unae anza utatakiwa kudeposit 1m ili wakufanyie branding ya duka, faida ya hii biashara ukiwa kwenye population kubwa, lakini pia utafaidika zaidi kama hilo eneo kuna mawakala wengi wa airtel, ambao utakuwa unawawekea flot.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Biashara Mbezi mwisho, Riverside au Kigamboni

    N Nahitaji kufanya hii biashara, mzgo unapatikana wapi kwa bei nzur
  7. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu

    Habari zenu wadau. Mimi nahitaji kufanya biashara ya simu pamoja na ear phones, cover za simu, chaja za simu. Naomba ushaur wa hii biashara wapi naweza kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla, pia na changamoto za hii biashara, nipo kusini huku mwa tanzania
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa haraka kwa niaba ya rafiki yangu kipenzi

    Hivi inakuwaje upo kweny mahusiano bado unaanzisha mahusiano mengine, atakacho kipata atasimu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuhudumia mawakala

    Ndyo, nataka niwe nawawekea flot
  10. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuhudumia mawakala

    Habar zenu wadau, Mwenye uelewa na hii biashara ya kuhudumia mawakala wa huduma za kifedha, huku nilipo mawakala wengi ni wa airtel money, unakuta wakala hana kabisa flot ana cash pekee au ana cash lakini hana flot. Nimevutiwa na hii biashara, mwenye uelewa na hii bishara anijuze, kamisheni...
Back
Top Bottom