Naomba msaada tafadhali!

Bhushu

Member
Sep 30, 2020
10
4
Kuna chuo nchini Uganda nimeomba kusajiriwa kwa masomo.

Nimetuma maombi nikatumiwa reference namba kwa ajili ya malipo, lakini nashindwa kulipa kwa kutumia hizo reference namba maana nimeeenda benki CRDB na NMB.

Nikawaelekeza wananiambia haiwezekani kulipia kwa kutumia hizo reference namba.

Naomba msaada nitumie njia gani kufanya malipo
 
Kuna chuo nchini uganda nimeomba kusajiriwa kwa masomo, nimetuma maomba nikatumiwa reference namba kwaajili ya malipo, lakini nashindwa kulipa kwa kutumia hizo reference namba maana nimeeenda benki CRDB na NMB, nikawaelekeza wananiambia haiwezekani kulipia kwa kutumia hizo reference namba, naomba msaada nitumie njia gani kufanya malipo
Wasiliana na wenye chuo wakuelekeze. Ila angalia na kuwa makini na matapeli wa mtandaoni
 
Kuna chuo nchini Uganda nimeomba kusajiriwa kwa masomo.

Nimetuma maombi nikatumiwa reference namba kwa ajili ya malipo, lakini nashindwa kulipa kwa kutumia hizo reference namba maana nimeeenda benki CRDB na NMB.

Nikawaelekeza wananiambia haiwezekani kulipia kwa kutumia hizo reference namba.

Naomba msaada nitumie njia gani kufanya malipo
Mara nyingi kulipia nyuo vya nje huwa wanatumia mifumo miwili,
Moja, kutumia Visa card kulipia moja kwa moja kwenye account ya chuo kupitia mfumo maalumu ambao vyuo vingi huwa nao.
Pili, kupitia njia ya ku transfer pesa kutoka account yako kwenda kwenye account ya chuo husika, hapa utapewa account ya chuo na Swift code ili kufanikisha hyo transfer.
NB: waulizie wakufanunulie n njia gan wanatumia
 
Back
Top Bottom