Recent content by bhunonukid

  1. bhunonukid

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    naomba ka elimu kiduchu kuhusu izo drinker plz
  2. bhunonukid

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    mbona watu wanasema kua banda za tofali n nyepesi kuharibika sababu nguruwe akiwa anajkuna anakmblia ukutan na anatumia nguvu nying sn sa akiendlea kila siku kufanya ivo ule ukuta anaumalza na unaanza kua na matundu
  3. bhunonukid

    Smartphone nzuri

    cjawahi tumia tecno j8 ndo imekua ya kwanza yan iko pouwa sn
  4. bhunonukid

    Wasomi na ndoto za Abunuasi

    c mbaya kukumbushana...sor ka mekuboa
  5. bhunonukid

    Wasomi na ndoto za Abunuasi

    kabisa yan mana twabweteka sn
  6. bhunonukid

    Wasomi na ndoto za Abunuasi

    ukwel mtupuuu...
  7. bhunonukid

    Msaada: Namna ya kupika Popcorn tamu

    thanks kwa kunijuza ivoo
  8. bhunonukid

    Msaada: Namna ya kupika Popcorn tamu

    Habari wana JF naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza popcorn tam(sukari)..nko na mashine ya kutengenezea ila naishia tu kupika za chumvi sa napenda kuwabadilishia wateja wang flavour il nisiwapoteze... Mwenye ujuzi naomba anisaidie plz, natanguliza shukran kwa wote mtaochangia iwe kwa ushaur au...
  9. bhunonukid

    Wasomi na ndoto za Abunuasi

    hahahahahahahah
  10. bhunonukid

    Wasomi na ndoto za Abunuasi

    kwel kabs yan
  11. bhunonukid

    Wasomi na ndoto za Abunuasi

    Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule msingi. Umepiga jaramba maili kadhaa kuifata shule.Umekumbana na kashkashi za walimu "wanoko",ukiwaona tu bandama zilikuwa zinacheza...
Back
Top Bottom