bhunonukid
Member
- Jul 3, 2016
- 11
- 18
cjawahi tumia tecno j8 ndo imekua ya kwanza yan iko pouwa sn
Mkuu funguka kidogo namna ya kuroot simucha zaidi...ukiipata unairoot unaondoa bloats zote..simu yazidi kua nyepesi aisee yaani out of 1.5gb ram unakua unachezea 450mb per normal usage
nicheki nikupatie samsung galaxy A5 390000/=..Ipi simu nzuri yenye bei kuanzia laki tatu na nusu had nne?



iyo simu ina choo ndan nin..Nunuaa solarin simu Ya wa Israel ml 36.5 + kodi ml 40 kabisaaa![]()
Fuata uzi Huu: Somo fupi kuhusu ku root simuMkuu funguka kidogo namna ya kuroot simu
Duuuh. Hiyo simu ina nini aisee.Nunuaa solarin simu Ya wa Israel ml 36.5 + kodi ml 40 kabisaaa![]()