Recent content by Bhukune

  1. B

    JamiiForums Tanzania Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

    Acha ujinga na using wako
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania meter gage trains are better than Kenya SGR trains.

    Do not depend on the propaganda from USA, the America is just creating some of the story to defeat the Chinese to Invest in Africa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mecca ndio mji bora duniani

    Allah Akbar
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anataka mahusiano na mimi

    Acha kabisa kutafuta matatizo ya mke wa mtu, mwambie kwamba Dini yako haikuruhusu kufanya hivyo.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Analazimisha awajue ndugu zangu.

    Inaonesha yeye anakupenda ila wewe unapita tu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuzama chumvini, nafikiri sio salama. Hata wao wanawake wanajua hilo!

    Chumvini Hapafai na ni kinyume na maadili ya Dini zetu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Kuwa na Subra, Swala huchukuwa takribani dakika 7 hadi Kumi, kumbuka kila mtu ana uhuru wa Kuabudu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Ruhu, Bhusimbete Kyang'ombe, Rorya Mara
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukarimu wangu wakupitiliza umeanza kuniponza

    Hizo ni hisia zako tu, ikiwa hukuwa na nia mbaya huna haja ƴa kuwa na mawazo, ila ikiwa ndio tabia yako ya kunyatia wateja basi acha
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mama Mkwe wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi. Nimemwambia jamaa yangu ushauri wake...

    Achana na Dhambi hiyo ni mbaya na itakunyima uhuru kabisa. Mwambie Mimi sitaweza kudo na wewe mama.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Expansion joints kwenye miradi ya Ujenzi ni kitu gani? Tuendelee kujielimisha

    Expansion joint ni joint ambayo huwekwa kwenye majengo yenye Urefu au Upana unaozidi mita 30. Hii husaidia kuruhusu kutanika na kusinyaa kwa material kama Zege, Ukuta wa tofali n.k
  12. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mange Kimambi kuomba msamaha na kurejea CCM!

    CCM hawamtaki mange
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kalemani hapa solution kwa sasa ni IPTL au tusubiri mvua mwezi wa tatu 2018

    Mimi nafikiri Huko Tanesco kuna mpango wa hujuma dhidi ya serikali yetu, Viongozi waliangazie hili.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

    Wote wawili Muowaji na Muolewaji wakamatwe na kufikishwa Koloƙoloni
Back
Top Bottom