Ndugu yangu, ninaheshimu maoni yako. Hata hivyo, ni muhimu kutenganisha taarifa zilizothibitishwa na madai yasiyo na ushahidi. Nyumba za NHC huuzwa kwa kufuata taratibu, vigezo na mifumo rasmi ya Shirika, na si sahihi kuhusisha mtu yeyote na ununuzi kwa “bei sawa na bure” bila ushahidi wa jambo...
Ndugu yangu, hoja yako inaeleweka, lakini umejikita zaidi kwenye sheria na mazingira ya zamani ya NHC. Sheria ya NHC ilifanyiwa marekebisho kupitia Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act No. 2 of 2005, ambayo pamoja na mambo mengine inaelekeza Shirika kufanya shughuli zake kwa misingi imara...
Mwisho wa uongo na ulaghai umefika, timu malalamiko, timu kufikirika hakuna tena mwenye kuweza kuwasikiliza. Tunataka maendeleo ya watu wetu nyie pambaneni na hali zenu yamewachwea msipojirekebisha na mwisho wenu ndo umefika, mtazimika kwa aibu.
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo rangi halisi ya hawa watu tunavyozidi kuiona, kwanza niseme ni jambo baya kwa bwana Mbunge mheshimiwa kupigwa risasi hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufurahia, lakini ni jambo baya sana kwa bwana Mbunge kutumia hisia kutuhumu watu ambao hata anapozungumza...
Nimempigia Rais wetu kafanya mambo makubwa saana isipokuwa tu nabii hakubalili kwao, wanasifiwa wasiofanya chochote anaachwa aliyefanya makubwa, miye nitahakikisha anaibuka mshindi Magufuli oyeeeeeeeeeeee
Duuhh huu sasa ni wivu au nini maanake kama wamenunua wamenunua kiharamu au kihalali, walifuata mchakato wa manunuzi au hawakufuata na hayo maprado unayodai wamenunua walikopeshwa au waligawiwa sioni issue hapa zaidi ya wivu na chuki.
Miye niliposikia hii taarifa kwanza nilidhani ni utani lakini baada ya kuitazama clip iliyorushwa kwenye You Tube nimesikitika saana kiongozi wetu huyu tuliyekuwa tukimtii miaka kumi yote akiwa ofisini leo hii anageuzwa kuwa MC wa Wema Sepetu, ni aibu kubwa hii imemdhalilisha sana mkuu wetu huyu...
Wacha Serikali ifanye kazi, mlipokuwa mkipiga kelele mnataka maamuzi magumu mlisema saana, sasa maamuzi hayo ya kutimua wapiga dili, vyeti feki wasiolipa kodi, weka ndani watakatishaji pesa, piga marufuku siasa zisizoa na tija, mikataba mibovu ya madini sasa mnaanza kulalamika oohh huyu bwana...
Naukumbuka saana ule wimbo Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote , uhuru wa kuzungumza ni mkubwa saana acha viongozi wetu wa upinzani wazungumze hoja zao wanavyoweza nimezisikiliza na kuzisoma, nafurahia kwamba siasa inaprevail kwa kuzungumza hivi tunapata mawazo mengi zaidi kwa mapana...
Hiyo ni Mbingu na ardhi ndugu, nazungumzia maisha na safari ya kisiasa ambayo ni unique na ina mambo yake tofauti siyo ya kitaaluma. Magufuli amekuwa Mbunge na Waziri kwa miaka 20 je hao wanalingana ndugu yangu
Mnajifariji na Chama chenu hicho hivi mtu ambaye ni mgeni kabisa kwenye siasa hata katibu wa tawi la chadema hajawahi kuwa atawezaje kuongoza lichama likubwa hivyo mmechemja poleni mmeua chama. Haingii kwa Dk Slaa hata ukucha ndo madhara ya kutaka kuwa na viongozi wenye mitizamo ya ndiyo mzee.
Wee jamaa kwa kweli ni bwege yaani hapo unajiuliza nini kwanza wewe mwenyewe hufai kwa kuwa wewe pia mfiraji, kwa hiyo ni bora umuoe ili kuficha aibu zako ambazo atakuwa huyo anakutimizia ili kusudi usije umbuka ukija kufanya mchezo huo kwa mtu mwengine.
Wacha kelele Watanzania bwana muda mwingi wetu tunazungumzia mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, wewe kaa ukiamini njozi zako. Maalim Seif ni mtu wa Serikali, analipwa na Serikali na anafanya kazi ya Serikali ndo maana hamtokaa hata siku moja msikie kwamba yeye ni Rais. Tlia tafakari fanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.