Kinondoni; CCM Inawadharau nanyi jibuni mapigo

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
25,823
Likes
27,007
Points
280

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
25,823 27,007 280
Umejenga nyumba yako kwa jasho na damu kisha inabomolewa bila fidia na kukuletea mateso makubwa wewe na familia yako.

Then wanakuja wabomoaji na kukuambia mchagueni mtu wetu ili muepuke kubomolewa nyumba zenu.

Jee kumbe wakati ule nyumba zilinomolewa sio kwa kufuata sheria bali kwa vile huyo kibaka Mtulia alipokuwa mbunge hakuwa anatoka kwenye chama chao wabomoaji?

Haya ni matusi na kuweka chumvi kwenye kidonda, ni kama vile adha zile mlizopata hakuna anayejali hata kidogo na leo wanawawekea watoto majukwaani wakatike mauno eti kuwafurahisha na kuwaomba kura.

Hakika CCM imewaona nyie ni mazwazwa wakubwana kama mwajitambua ndio nafasi ya kujibu mapigo ili nao wasikie uchungu kama mliokuwa mnasikia wakati wanawatendea bila huruma.

Eti leo wabunge wao na naibu spika wanakuja kusimama na kuwasherehesha kutaka kura (kula) kwenye migongo yenu?

Kama ni mkeo au mumeo hajitambui na anachotwa na huu ufala mshitue na kumwambia UMEPOTEA DEAR!
 

Mystery

JF Gold Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
9,450
Likes
10,072
Points
280

Mystery

JF Gold Member
Joined Mar 8, 2012
9,450 10,072 280
Hakika CCM maji yako shingoni!

Ukiona timu wanayotumbukiza katika kumuokoa mwenzao Mtulia, ndiyo utajua kweli wamezidiwa!

Hebu imagine wabunge wenye majina almost wote wametia timu Kinondoni

Hata hivyo hiyo hali bado haijabadilisha msimamo wa wanakinondoni kuwa mmetugeuza wajinga?

Hatukubali kuwa wajinga, sisi wanakinondoni ni wetevu na hatutamchagua Mtulia ubunge ambao ameukana!
 

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
12,886
Likes
7,297
Points
280

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
12,886 7,297 280
Hakika CCM maji yako shingoni!

Ukiona timu wanayotumbukiza katika kumuokoa mwenzao Mtulia, ndiyo utajua kweli wamezidiwa!

Hebu imagine wabunge wenye majina almost wote wametia timu Kinondoni

Hata hivyo hiyo hali bado haijabadilisha msimamo wa wanakinondoni kuwa mmetugeuza wajinga?

Hatukubali kuwa wajinga, sisi wanakinondoni ni wetevu na hatutamchagua Mtulia ubunge ambao ameukana!
Mimi nipo hapa Kino na nakuhakikishia kura zote anazizoa Mtulia. Salum Mwalimu hana kitu.
 
Joined
Mar 29, 2013
Messages
82
Likes
8
Points
15
Joined Mar 29, 2013
82 8 15
Umejenga nyumba yako kwa jasho na damu kisha inabomolewa bila fidia na kukuletea mateso makubwa wewe na familia yako. Then wanakuja wabomoaji na kukuambia mchagueni mtu wetu ili muepuke kubomolewa nyumba zenu.
Jee kumbe wakati ule nyumba zilinomolewa sio kwa kufuata sheria bali kwa vile huyo kibaka Mtulia alipokuwa mbunge hakuwa anatoka kwenye chama chao wabomoaji? Haya ni matusi na kuweka chumvi kwenye kidonda, ni kama vile adha zile mlizopata hakuna anaye jali hata kidogo na leo wanawawekea watoto majukwaani wakatike mauno eti kuwafurahisha na kuwaomba kura. Hakika ccm imewaona nyie ni mazwazwa wakubwana kama mwajitambua ndio nafasi ya kujibu mapigo ili nao wasikie uchungu kama mliokuwa mnasikia wakati wanawatendea bila huruma.
Eti leo wabunge wao na naibu spika wanakuja kusimama na kuwasherehesha kutaka kura (kula) kwenye migongo yenu? Kama ni mkeo au mumeo hajitambui na anachotwa na huu ufala mshitue na kumwambia UMEPOTEA DEAR!
Mwisho wa uongo na ulaghai umefika, timu malalamiko, timu kufikirika hakuna tena mwenye kuweza kuwasikiliza. Tunataka maendeleo ya watu wetu nyie pambaneni na hali zenu yamewachwea msipojirekebisha na mwisho wenu ndo umefika, mtazimika kwa aibu.
 

ndeambase

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
632
Likes
308
Points
80
Age
47

ndeambase

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
632 308 80
Huu ni uendawazimu nyumba kumbe mlizibomoa Kwa ukatili na haikua utaratibu wa kisheria du yani hayo ndo tumeona na menginec mfano watumishi wa umma kutoongezewa mishahara ni chuki pia na wale wa darasa LA saba walioondolewa eti hawana form four wakati waliajiriwa Kwa utaratibu wote wa ajira wanasimamishwa kazi utadhani vibaka yote haya ni vinyongo lakini Watanzania sijui wamelaaniwa hawataki kuona mbali.
 

Forum statistics

Threads 1,189,154
Members 450,530
Posts 27,627,208