Recent content by Bhokem

  1. Bhokem

    Konda Amchapa Bao Mkewe Usingizini

    Happy New Year.!!! Mwe! mbona unamkatisha mwenzio hamu? Inachekesha mwayego lete ingine tena
  2. Bhokem

    Nimemzimia huyu mtoto aliyeanzisha huu uzi

    :shock::A S embarassed:
  3. Bhokem

    Cosmetic creams au dawa za kutoa weusi

    Hapo kwenye red hapooo, kumbe rangi nyeusi si rangi ya kawaida? Na je hiyo ya kawaida ni rangi gani? Dawa ya kutakatisha madoa sugu, kwenye magoti, kwapani na sehemu hizo ulizozitaja, ni usafi tuu. kama unapooga husugui magoti yako na miguu sawia/ au kwapa lako hlioshi vizuri(au unanyoa kwa...
  4. Bhokem

    Mademu, msaada inakuwa nongwa?

    Hiyo si kweli kabisa, na labda ni huyo mmoja uliyekutana naye. Msipende kugeneralize, mbona wapo wanaume wengi tuu ambao hutoa lifti halafu mwisho wa safari wakaomba namba za simu? Au kwa vile sie wadada hatufunguki kiivyo ndo maana ukikutana na mmoja wa aina hiyo unaamua kutugroup wote kwenye...
  5. Bhokem

    Mkulu na bosi mupya wa ADB - Beautiful

    Mkulu ana macho mazuri, lol
  6. Bhokem

    Teja wa mapenzi

    Mbona picha ina vichwa viwili, au ndo ile Zenj styl?
  7. Bhokem

    Happy bithday kabakabana

    Kabakabana, may you stay strong to take an Excellent care of Excellent,
  8. Bhokem

    Getting married in Heaven!

    hahahaaaa, hii kali.
  9. Bhokem

    Mmepotea ghafla, mmeenda wapi?

    au unanisema mie? ngoja nkakunje nguo nirudi hapa. Nimekumiss
  10. Bhokem

    Wtf

    heee! kumbe na hii yawezekana eeh? WTF, lol
  11. Bhokem

    Naomba uwe rafiki yangu.

    goood girlie, naona unafunguka kimtindo, go girlie gooooo
  12. Bhokem

    Kwa Yeyote anaehusika!

    Hapo kwenye blue, ni HAWALA na si hiyo uloandika
  13. Bhokem

    Natafuta kazi za ndani

    duh! hii sio kama kazi nyingine dear, kazi nyingine hatukai kwa waajiri, tunakuja asubuhi, jioni tunaenda kulala na kula makwetu Hivyo ligezo cha kukaa kwa mwajiri tuu, kinakupunguzia mshahara. Kwa huo mshahara inabidi uwe unakaa kwako, ili iwe kama kazi zingine,lol
  14. Bhokem

    Tanzania: Is the govt broke?

    hahahaaaaa, kwa hali hii lazima watu Cameroon
  15. Bhokem

    Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

    Angalia post ya TF, then go for it. Ila usisahau kumshukuru kwa PM, lol
Back
Top Bottom