Kwa Yeyote anaehusika!

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
9,251
8,336
Salaaam wana jamvi!

Natafuta vitabu tulivyotumia shule ya msingi miaka hiyo ya themanini

Juma na Roza
Kiswahili darasa la tatu (Kibanga ampiga mkoloni)

Kiswahili darasa la nne (Jogoo aliyesema)

Kiswahili darasa la tano (mafuriko ya mto rufiji, hekaheka mtoni)

English std 3 up to 7 (Neema, Juma na Baraka)

Jiografia darasa la nne (Kilimo cha mhogo Mtwara)

Natafuta pia vitabu vya riwaya tulivyotumia sekondari

Kuli
Mashairi ya Saadan
Hawara ya Fedha
Kusadikia
Ngoswe Penzi kitovu cha uzembe na vya kiingereza vyote The river between, Is it possible n.k

Nawasilisha
 
Hapo kwenye blue, ni HAWALA na si hiyo uloandika
 
Mkuu ukifanikiwa kupata na mimi ninavihitaji.
 
Yaani ninavihitaji sana, ndo sababu nimeleta ombi humu ndani
 
Back
Top Bottom