Recent content by bhikola

  1. bhikola

    UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    soma hiki kitabu chapters 8 hadi 10 https://www.researchgate.net/publication/335176068_Tutuba_-_2017_-_vile_uwazavyo_ndivyo_ulivyo
  2. bhikola

    Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

    Unaweza kuwa na hoja, lakini unaweza kuwa na hoja ya kijinga kama ujinga mwingine: 1. Tanzania imewahi kuwa na magavana 8. kati ya hao Ma Dr (2), Prof. (2). Hivyo, yeye siyo Gavana wa kwanza asiyekuwa na PhD. Hata hivyo, tumewahi kuwa na wabobevu waliowahi kushika taasisi na nafasi kubwa na...
  3. bhikola

    Udaktari umekuwa kazi nyepesi sasa hivi

    Acha upimbi wewe, hizo shule walizoacha ni Harvard mzee siyo Njuweni College of Medicine. Jinga kabisa Siyo kwa ubaya lakini
  4. bhikola

    Ninataka kuuza hisa zangu katika Kampuni ya TBL

    Hisa 2000 kwa bei ya soko leo ni 10,900 so itakuwa 20,900,000. Hapo utalipa kodi kidogo na fee ya broker na fee ya DSE, 20m itabaki. Nenda kwa broker aliyekununulia hisa hizo, au broker yoyote unayempenda. Mpe cheti chako cha hisa, mwambie akuuzie. Ni hayo tuuuu
  5. bhikola

    Niliambiwa "Hapa hayupo tena, yupo Iringa" inaumiza sana

    Hapo mwisho tu miye hoiiii Pole joo
  6. bhikola

    Mikoa inayoongoza kwa udumavu wa watoto yatajwa

    Weka report hapa tusome wenyewe, acha mbwembwe
  7. bhikola

    AFYA: Vitambi hupunguza uwezo kushiriki tendo la ndoa

    Ujinga mtupuu Uwe na mpunga, manoti, mkwanja, money, njuluku, pesa Kisha usiwe na stressss Aiseeee, kila dakika mlingoti unasoma 5G Hayo mengine mbwembwe tuuu
  8. bhikola

    Mdogo wa mke wangu kamleta mwanaye kuishi kwangu ila sipo tayari kubeba lawama baadaye. Nifanye nini kuepuka hili?

    Aiseee Mtongoze huyo Mdogo wa mkeo na hakikisha mke wako anajua kwamba unamtongoza. Atatimuliwa asubuhi na mapema sana
  9. bhikola

    Ushauri: Dada yangu ananiomba sana Pesa

    Sister anazingua, muombe tu, ataacha kabisa Don’t take it personal
  10. bhikola

    Nafasi ya John Komba imezibwa na wasanii zaidi ya 100 kuhamasisha uchaguzi CCM

    Hii ndiyo tofauti ya kipaji na uhamasishaji
  11. bhikola

    Pesa bana ukiwa nazo your the King

    Tafuta pesa mpaka mtu akisema hakufahamu watu wamshangae, Haaaaa, haumjui huyu mshua!! Huyu ni mwana wetu saaaana
  12. bhikola

    Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

    Wakristo hawana tamaa, wameridhika pale walipo
  13. bhikola

    Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

    Hakuna upumbavu mkubwa zaidi ya huu. Naamini sooner than later utakuja kuomba radhi kwamba ulitumika kama pedi. Yule anayejiita mchunga kondoo kaonesha njia kwa kuanza kuomba radhi
  14. bhikola

    Busega: Mbunge Raphael Chegeni anagawa rushwa muda huu

    Acha upimbi Ni kitakasa mikono hicho
  15. bhikola

    Leo nimegeuka kituko stendi, Nimelazimika kupanda basi na pasi yenye moto mkononi

    Usituunguzie basi letu Tafadhari, toa li begi lako kwenye buti aseee
Back
Top Bottom