Ushauri: Dada yangu ananiomba sana Pesa

Ushauri: Dada yangu ananiomba sana Pesa

siamini kama ni kweli, sema wanajiunga michezo isiyolingana na vipato vyao hivyo wanajikuta asilimia kubwa wanaomba. Kwamba hawana kabisa hilo nakataa
Mmh haya
 
Mnyime,
Sawa mkuu tumejua una hela na kwenu wanakutegemea na kukuomba hela.
Samahani mkuu, wewe unatokea lila kabila la kula senene au?
Respect family hood. Sio lazima uwatangaze kuwa ndugu zako hawana hela
 
Sister anazingua, muombe tu, ataacha kabisa

Don’t take it personal
 
Dawa ni vyeti tu.... Muahidi kisha usimpe.....mpatie ahadi hewa...
 
Next time akija kukuomba pesa muambie Kuna issue unaifanya na hii pesa umeitenga kwa issue hiyo lakini unaweza kumkopesha.

Akirudi tena muambie dada hujarudisha ile pesa.
Kwan anajua kwenye account kuna kiasi gani hadi apange.... Me namwambia tu nimefua balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom