AFYA: Vitambi hupunguza uwezo kushiriki tendo la ndoa

Ujinga mtupuu

Uwe na mpunga, manoti, mkwanja, money, njuluku, pesa
Kisha usiwe na stressss
Aiseeee, kila dakika mlingoti unasoma 5G
Hayo mengine mbwembwe tuuu
 
Dokta Ndodi alikuwa anaponda sana vitambi, kumbe ni njaa ilikuwa inamsumbua. Kwa sasa ana kitambi hatari, itakuwa hata dawa alizokuwa anatumia kutibu vitambi ni fake, kwani mbona asijitibu kwa hizo dawa?
 
kitambi hakina dawa ya kudumu ila lishe ya kudumu
 
Hivi huyu jamaa yupo?

Back
Top Bottom