Leo nimegeuka kituko stendi, Nimelazimika kupanda basi na pasi yenye moto mkononi

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Kuna vitu ni vidogo sana, na sababu ya udogo wake, ni ngumu sana kuwaza kama vinaweza vitokee au hata vikusumbue kwa namna flani...

Hiki ndio kimenikuta leo.

Hapa naandika nipo safarini, nililala guest iliyopo karibu na stend, Nimeamka asubuhi nikajiandaa kwa kila kitu suala la kupasi likawa la mwisho, namaanisha nikimaliza kupasi navaa naondoka, na mda haukua unaniruhusu kusubiri hata dk moja,

Sasa sijui akili ilikua wapi, sikuwaza kua hii pasi itahitaji dk si chini ya kumi na tano angalau ipoe,
Ikishika moto imeshika(ni hizi philips OG)

Mbaya zaidi sababu ya haraka(Nilikua naenda kiofisi sehemu flani)Nikajisahau baada ya kumaliza kupasi nikasahau kuichomoa, ile nataka kuondoka, ndio nashtuka, na niliweka moto mpaka mwisho...

Mda huo ina moto hatari, nina dk 3 za kuwahi basi(uzuri sio mbali maana hoteli ipo karibu),

Nikawaza hizi dk 3 nisubiri angalau ipoe halafu nimwite boda,
Lakini nina mizigo mingine, huko kwenye boda itakua kimbembee, unaakaa kwa uchale la sivyo mvurugane na dereva, lakini pia zisingetosha kabisa, maana hata nikiwa nyumbani napasi nguo nyingi, hua naiwasha kwa mda halafu naizima natumia moto uliokwisha ingia, na inaenda mpaka dk 20 ndio niwashe tena.

Nikawazaa niimwagie maji kwa chini huku kwenge kitako, nikajaribu kuirushia tone, alooo lilikaushwa ndani ya millisecond, lile wazo likafa pale pale, lakini pia ningeweza kuiharibu,

Nikawaza Niifunge funge kwenye taulo la pale guest nitie kwenye begi nipite nalo?
hapa nikawaza vipi kama wanakagua chumba kabla ya kuondoka si nitapata aibu?
lakini pia Ule moto ni mkubwa lile taulo lisingestahimili,

Nilitamani nibadili nguo smart nilizokua nimevaa na nitupie sendo chini angalau nipunguze tension ila sina mda tena wa kubadili, nafika tuu na kuingia kwenye kikao kilichonipeleka.

Wazo likabaki lililonijia mwanzo kabisa la kuishika mkononi na kusepa, Sasa hapa kimbembe kwanza kupita Nayo pale Mapokezi, Maana kuna wengine hata hawaruhusu kupasi, ila nikasema wakinizingua nami nawazingua, siwezi toa efl 35 halafu kupasi nguo iwe tatizo, Nikaishika nikachomokaa..

Nafika reception nawasalimia at the same time hawajajibu nishawaaga, ile wanashangaa mimi tayari nipo nje, nikasikia tuu vicheko nyuma.

Kufika nje nako boda hamna anayenisogelea,

Sasa mda huo tayari nimechelewa, kwaio kuachana tuu na Pasi mkononi, lakini pia niko mbio, kwaio ile inazidi kuwashangaza watu, ukicheki nilivyotupia ndio kabsaaa wanashindwa kuelewa,

Nikajiwa nawazo hapa ninunue li BARAKOA likubwa, maana nilijua piga ua Pale stend au kwenye basi nitapanda na mtu yeyote anayenijua, Nisije kumwacha mdomo wazi,

Nikaenda sehemu nikalinunua, yani halina hata shepu hili barakoa, limekaa kaatuu..
Ni kama mtu amechukua li kaniki lake la sufi huko kalishona, Hata anayeuza alishangaa mimi kuchagua lile,

Sasa lile ndio likaua bendi, kila anayeniona kicheko..
Akicheki mwendo, Akiangalia mkononi, akirudi usoni hoiiii..

Ma Agent hamna anayenisogelea, kuna mmoja akaja, nikamwambia angalia pasi hio bro, akauliza ina Moto? Sikumjibu nikaitemea mate, Alivyosikia zile cheche "chaachaachaaaaaa" hakurudi tena,

Nikaikuta basi yangu, Konda, dereva na wengine wote hoiii,

Jana wakati nakata ticket walidai seat ya mbele zote zimejaa, Na kweli wakanionesha chati zilikua zimejaa,

Ila leo wenyewe wakafanya mpango wakanitaftia seat ya mbele, nyuma walihisi nitachoma watu, mizigo au makochi yao...

Asaivi imepoa nimeiweka kwenye begi nimenyoosha miguu mpaka usawa wa dereva,

Kuna watu wawili tayari nimewaona humu wananifahamu, wao naamini hawajanijua, japo kuna mmoja simwelewi kila saa ananipiga chabo, sijui kanishtukiaaa, na mimi sigeuki pembenii....

kuna vitu vingine havina plan B,

Najaribu kuweka picha, zinafaill
Naambiwa
"UPLOAD FAIL, need valid forum ID"
 
Kuna vitu ni vidogo sana, na sababu ya udogo wake, ni ngumu sana kuwaza kama vinaweza vitokee au hata vikusumbue kwa namna flani...

Hiki ndio kimenikuta leo.

Hapa naandika nipo safarini, nililala guest iliyopo karibu na stend, Nimeamka asubuhi nikajiandaa kwa kila kitu suala la kupasi likawa la mwisho, namaanisha nikimaliza kupasi navaa naondoka, na mda haukua unaniruhusu kusubiri hata dk moja,

Sasa sijui akili ilikua wapi, sikuwaza kua hii pasi itahitaji dk si chini ya kumi na tano angalau ipoe,
Ikishika moto imeshika(ni hizi philips OG)

Mbaya zaidi sababu ya haraka, Nikajisahau baada ya kumaliza kupasi nikasahau kuichomoa, ile nataka kuondoka, ndio nashtuka, na niliweka moto mpaka mwisho...

Mda huo ina moto hatari, nina dk 3 za kuwahi basi(uzuri sio mbali maana hoteli ipo karibu),

Nikawaza hizi dk 3 nisubiri angalau ipoe halafu nimwite boda,
Lakini nina mizigo mingine, huko kwenye boda itakua kimbembee, unaakaa kwa uchale la sivyo mvurugane na dereva, lakini pia zisingetosha kabisa, maana hata nikiwa nyumbani napasi nguo nyingi, hua naiwasha kwa mda halafu naizima natumia moto uliokwisha ingia, na inaenda mpaka dk 20 ndio niwashe tena.

Nikawazaa niimwagie maji kwa chini huku kwenge kitako, nikajaribu kuirushia tone, alooo lilikaushwa ndani ya millisecond, lile wazo likafa pale pale, lakini pia ningeweza kuiharibu,

Nikawaza Niifunge funge kwenye taulo la pale guest nitie kwenye begi nipite nalo?
hapa nikawaza vipi kama wanakagua chumba kabla ya kuondoka si nitapata aibu?
lakini pia Ule moto ni mkubwa lile taulo lisingestahimili,

Nilitamani nibadili nguo smart nilizokua nimevaa na nitupie sendo chini angalau nipunguze tension,

Wazo likabaki lililonijia mwanzo kabisa la kuishika mkononi na kusepa, Sasa hapa kimbembe kwanza kupita Nayo pale Mapokezi, Maana kuna wengine hata hawaruhusu kupasi, ila nikasema wakinizingua nami nawazingua, siwezi toa efl 35 halafu kupasi nguo mbili tuu iwe nongwa japo hio 35 walinishushia, Nikaishika nikachomokaa..

Asaivi imepoa nimeiweka kwenye begi nimenyoosha miguu mpka usawa wa dereva,

Kuna watu wawili tayari nimewaona humu wananifahamu, wao naamini hawajanijua, japo kuna mmoja simwelewi kila saa ananipiga chabo, sijui kanishtukiaaa, na mimi sigeuki pembenii....

kuna vitu vingine havina plan B,

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we jamaa umenichekesha sana
Mpaka sahv nasikia harufu ya pasi ikiwa na moto mkali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
n

nmechekaaa balaaaa ,,we jamaa nomaaa ,,sema story bila picha jau boss
 
Daah 😂😂😂😂😂 aisee nimecheka sana.
Ila we jamaa bana.. sasa unasafiri na lipasi la kazi gani? Mbona loji nyingi tu hua wana huduma ya pasi au ulikua bushi sana? Pia mkuu kama unasafiri kwa basi hakuna umuhimu wa kuvaa shati la mikono mirefu, kuchomekea na kiatu cha kupiga kiwi. Uwe unavaa simpo tu ili kurahisisha baadhi ya mambo 😀
 
😝😝😝😝Daaa Jf banaaaa,
Sasa na wewe uta ulambaje safarini?
Unaenda kwenye interview? au ndio hio idd?
Katika mazingira kama hayo andaa jeans au kadet na T-shirt/Fm6, chini viatu vya wazi, mwili u relax.
 
😝😝😝😝Daaa Jf banaaaa,
Sasa na wewe uta ulambaje safarini?
Unaenda kwenyr interview? au ndio hio idd?
Katika mazingira kama hayo andaa jeans au kadet na T-shirt/Fm6, chini viatu vya wazi, mwili u relax.

Sasa jamaa anapanda basi tu anaulamba kiasi hicho,😂😂😂 hawa ndio wale wakipanda ndege anapiga suti matata anatafuta na briefcase.
 
Back
Top Bottom